Ujenzi wa ghorofa refu kuliko yote Mwanza unaendelea

Hebu ntoe contact za contractor wa umeme, utakuwa umensaidia sana
 
wakuu kweli mwanza tumeachwa mbali sana na dar kimaendele na ninazani tuko miaka 20 nyuma kimaendeleo kwa dar eti leo hii mwanza ndio ujenzi unaendelea wa kujenga ghorofa refu kuliko yote hapa litakua na ghorofa 16 toka usawa wa ardhi nssf capripoint
Na kwa taarifa yako huo ujenzi usha pigwa chini hakuna kinacho endelea kwa sasa
 
We nae unaumwa ghorofa siyo huduma za jamii issue ya makazi inaielewa kweli!
Usivyo na akili umemuattack kabla ya kujionea huko Brunei kuna nini!?.. Hebu mfatirie na Zitto kwenye account yake Insta uone mfano wa barabara walizomsaidia jenga toka Sweden/Holland!.
 
Back
Top Bottom