Rudiana na yule mvuta bhangi aliyekuchora.. hiyo sifa ya matatoo imeondoa kabisa sifa ya wife material.. hakuna mwanaume atavumia na hayo mamichoro yako ....
Bila ya uwepo wa maskini tajiri atajulikanaje sasa..??..hivi watu wengine mnafikiri kwa kutumia makalio..???... Yaani unashangaa kukutana na kundi la maskini kwenye usafiri wa umma...
Binafsi suala usafi na usmart wa mwanaume unaanza na yeye mwenyewe kwanza kujijali halafu mke anatembea na hiyo beat.. Sasa kama M/me mwenye hujijali tusilaumu sana wanawake ... Maana na yeye anakuona ni wa hivyo... M/me ukiwa na tabia za usmart itamlazimu m/ke kuwa hivyo pia..."pay u're self...
Kuna dada mmoja mama lishe bila Pepsi 3 Kwa siku??.. anahangaika kama anatafutwa na pride au finca..Bandani kwake soda za wateja anamilizaga yeye kwanza .. nikamuhesabia 3x30=90 ambapo 90x12=1080 soda Kwa mwaka SAWA na wastani wa kreti 45 Kwa mwaka....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.