Recent content by Julius Mgaya

  1. Julius Mgaya

    ZITTO: Shilingi 1.9 trilioni zilitumika kuendesha magari ya Serikali

    Ni hatari kwa nchi masikini kama yetu kuwabebesha mzigo mkubwa wananchi ktk kuigharamia serikali yao.
  2. Julius Mgaya

    Mnyika kufanya mkutano mkubwa wa hadhara 21 julai, 2013

    MUHIMU: Ofisi ya Mbunge wa Ubungo inapenda kuwataarifu Mawakala wote wa MABADILIKO nchini kuwa tarehe 21 Julai, 2013 siku ya jumapili kuanzia saa 8 Mchana kutakuwa na MKUTANO MKUBWA WA HADHARA utakaoongozwa na Dr. Willbroad Slaa, John MNYIKA(Mb.) pamoja na Madiwani wa CHADEMA wa Mkoa wa DSM...
  3. Julius Mgaya

    FBI kuhusika katika kuchuja viongozi watakaompokea Obama

    Hi ni hatari, lakini ni kawaida kwa nchi changa kama yetu kwa Wamerikani kufanya hivyo, lakini Rais wao akifanya ziara China kila kitu atapangiwa na serikali ya China kwani ili ni Taifa kubwa.
  4. Julius Mgaya

    Africa falls into dragon hands

    Viongozi wengi wa Africa wameshindwa kutumia raslimali tulizonazo kwa ajili ya kujikomboa kutoka katika Umaskini, Ujinga na Maradhi bali wamebaki kuomba misaada toka ughaibuni na kuendeleza familia zao na kusahau majority ya watu wanaowaongoza, inatupasa sasa tuchukue hatua juwawajibisha ili...
  5. Julius Mgaya

    Revealed!! CHADEMA ilitumia mitambo maalum ya DVR kurekodi mkutano wa tarehe 15/06/2013

    CHADEMA now is a strong institution which suspect to take power at anytime..ni chama ambacho kina mipango inayotekelezeka na yenye malengo ya kuwakomboa Watz, hakika TUTASHINDA na UKWELLI utafahamika tu!
  6. Julius Mgaya

    UDOM: Makamu mkuu wa chuo akiri udini upo chuoni

    "...Mkuu nakubaliana na wewe kwa 100% ni kweli kabisa Taifa letu sasa linapoteza muda mwingi kujadili UDINI wakati kuna matatizo mengi ambayo yanahitaji ufumbuzi....Tuache kujadili mambo yasiyokuwa na msingi ktk mustakabali wa nchi yetu bali tutumie muda mwingi, raslimali tulizonazo na nguvu...
  7. Julius Mgaya

    Bashe anusurika kutekwa

    Tz nchi ya amani na upendo lakini wananchi wake wanaishi pasipo kujua hatma yao kesho itakuaje!
  8. Julius Mgaya

    Serikali iache kiburi kulazimisha mfumo wa Digital

    Hongera mkuu, kwa maoni na ushauri wako nafikiri vyombo husika na vyenye mamlaka hayo vimeona ushauri wako.
  9. Julius Mgaya

    Mswada wa sheria ya kuhudhuria mafunzo ya jeshi kwa viongozi kupelekwa bungeni

    Uzalendo mtu uzaliwa nao na si kujifunza kama wanavyofikiri viongozi wetu.
  10. Julius Mgaya

    Ni ushirikina mtupu, Anaongelewa nani hapa?

    Mambo ya kishirikina sio mazuri kwa mustakabali wa siasa zetu.
  11. Julius Mgaya

    Ludovick Joseph: Kilio cha usaliti - Sehemu ya pili

    Safi sana Mr. Aweda
  12. Julius Mgaya

    Bungeni: Wabunge wapingana juu ya Hoja Binafsi ya Mhe. Mbatia, wengine wamfuata nje ya ukumbi!

    '..Tunahitaji Taasisi imara kama Bunge, Mahakama na Serikali zisiwe 'Politicized' ili kuepuka usumbufu wa upatikanaji wa HAKI hapa nchini.."
  13. Julius Mgaya

    Manumba alazwa ICU Aga Khan

    "..Mpeni pole lakini ijulikane kuwa hata ukiwa mwamba kiasi gani, jua Maisha ni imara zaidi yetu.."
  14. Julius Mgaya

    ....Mkutano wa Mwigulu Manzese kuwapokea waliokuwa viongozi wa CHADEMA

    "..Watz wa sasa sio wale wa mwaka 1947, leo wanauwezo wa kutambua ukweli na uhongo..hakika hauwezi kuwadanya kwa vitu vidogo kama CCM wanavyovikilia leo.."
Back
Top Bottom