Recent content by julius.mdope

  1. julius.mdope

    JamiiForums Tanzania Mugabe asweka ndani mashoga hadi washike ujauzito

    Safi sana kamanda mugabe
  2. julius.mdope

    JamiiForums Tanzania Rais Kabila: Mizigo yote ya DRC itapitia Bandari ya Dar. Tulisitisha sababu ya urasimu na upotevu

    ATCL waanzishe safari za ndege kwenda Lubumbashi....
  3. julius.mdope

    JamiiForums Tanzania Rais Kabila: Mizigo yote ya DRC itapitia Bandari ya Dar. Tulisitisha sababu ya urasimu na upotevu

    Safi sana rais wangu magufuli,,,,
  4. julius.mdope

    JamiiForums Tanzania Bodi ya MCC yafunga rasmi ofisi zake Dar miezi sita baada ya kusitisha misaada kwa Tanzania

    Waende tu,,,tunawatakia safari njema,,
  5. julius.mdope

    JamiiForums Tanzania TRA, hii ni sehemu ya mikakati wa kuhakikisha watanzania wanaishi kama mashetani?

    Nchi yetu,,na jamaa barabarani wamechachamaa,,sasa hivi barabarani kosa dogo,ukimwambia afande samahani nisamehe hili kosa nakwenda kurekebusha,,basi ile ya kubrashia viatu walioambiwa hawaitaki tena,,lazima uwe nayo ile nyekundu ndipo upate msamaha,,vinginevyo unapata cheti chako dakika 5 hazizidi,
  6. julius.mdope

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye uelewa wa Suzuki Escudo toleo la tatu.

    Gari nzuri ya mkulima ni hiyo 5 door nyekundu au hiyo fupi yake 3 door,,hiyo japo ni old model lakini ni gari ngumu,,spea zipo kila mahali bei chee,,hiyo nyeupe ni sawa na kuwa na wake watatu nafikri umenielewa ,,,,
  7. julius.mdope

    JamiiForums Tanzania Serikali rekebisha haya mapema TRA

    Ni kabisa unachokisema
  8. julius.mdope

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aamua kutumia Style ya Kampeni za Lowassa

    Safi
  9. julius.mdope

    JamiiForums Tanzania Vehicle Diagnostics Machine For Sale

    Weka picha yake tuione
  10. julius.mdope

    JamiiForums Tanzania Mashine za EFD sasa kutolewa bure na Serikali!

    Hali ilivyo sasa mashine hii ni kidudu mtu kinanyoa kodi kwenye mauzo hatutaki....mashine hii haijui mtaji.gharama za uendeshaji.nk.yenyewe inaingia kwenye mauzo moja kwa moja ...
  11. julius.mdope

    JamiiForums Tanzania Mashine za EFD sasa kutolewa bure na Serikali!

    Sisi wajasiliali si ugomvi wetu ni mfumo uliomo ktk mashine hizo...KWAMBA HATUUTAKI MFUMO....SIO MASHINE...narudia tena ..HATUUTAKI MFUMO WA MSHINE HII KUKATA KODI KWENYE MAUZO..TUNAOMBA MASHINE IKATE KODI KWENYE FAIDA
  12. julius.mdope

    JamiiForums Tanzania Mafisadi papa ndani ya CCM kumkwamisha rais?

    Tarimo kama maamuzi yepi ya kishenzi
  13. julius.mdope

    JamiiForums Tanzania Biashara za Machinga, Mama lishe, Shoe shinner Posta mpya na ofisi za serikali ni uchafu

    Eddy nakielewa sana..city hawataki..hawa ndugu zetu wanataka kuuzia pale nachouliza nini kifanyike juu ya hili!?
  14. julius.mdope

    JamiiForums Tanzania Biashara za Machinga, Mama lishe, Shoe shinner Posta mpya na ofisi za serikali ni uchafu

    Eddy sasa nini kifanyike. City wanasema kwa maana mandhali ya jiji haipendezi wao kuwepo maeneo yale mfano mama ntilie.wauza vitumbua.maandazi.leso.nk.sasa Nini kifanyike ktk kuliweka jiji safi
Back
Top Bottom