figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,015
- 64,074
Kundi la vijana wa CCM, maarufu kama Wazalendo, limeingia mjini Dodoma kwa ajili ya kufanya kampeni kushawishi wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa chama hicho, kumpigia Rais John Magufuli kura ya ‘NDIYO’.
Rais Magufuli utendaji kazi wake unambeba, nguvu yote hii ya nini? Bado naamin Kwamba rai anajiamini.
Rais John Magufuli, anatarajiwa kupokea kijiti cha Uenyekiti wa CCM Jumamosi hii kwa mujibu wa utamaduni uliozoeleka CCM. Uenyekiti wa CHAMA hamna demokrasia ya kufanya Uchaguzi