Inawezekana kuna tatizo kwenye earth system.... either hakuna unyevu kwenye eart rod au wiring system ina shida. jaribu kuhakikisha pale earth wire inapofukiwa (earth rod) unapamwagia maji mara kwa mara pawe na unyevu.... ikiendelea kuwa hivyo cheki na fundi
Siasa za bongo!!! Hivi inamaana hakuna mtu/watu waliosoma na huyo Bashite Secondary???? kama ni kweli kwann sijaona mtu aliyejitokeza akasema huyo RC alisoma nae akiwa anaitwa Bashite??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.