Plot4Sale Viwanja vinauzwa Vikindu

ibuo

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
464
438
kama nilivyotanguliza hapo juu nauza viwanja maeneo ya vikindu njia panda viwanja vipo karibu na barabara kuu ya kwenda mkuranga bei kuanzia milioni moja na kuendelea napenda kwa yule anaetaka anipigie atafte nafasi tuende akaangalie akiridhika ndo tuongee biashara contact 0752895342
 
Milioni moja Napata ukubwa gani? maeneo hayo yana umeme na maji?
 
maji ya umeme pia upo karibu tuwasiliane ili tupeane maelekezo mazuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom