Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,941
- 24,816
Jamani mbona sasa hivi LUKU zinaisha mapema sana tofauti na zamani au tatizo lipo kwangu ,
Zamani nikiweka Umeme wa elfu 20 unakaa mpaka mwezi lakini sasa hivi unakaa almost wiki mbili mpaka wiki tatu ,
Na hakuna kitu kipya ambacho kimeongezeka na matumizi ni Yale Yale ya kila siku.
Jamani hili tatizo ni kwangu tu au hata kwako ulipo nayo ni hivyo hivyo