Recent content by JUKUMU

  1. JUKUMU

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA: Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa amekamatwa na Jeshi la Polisi usiku wa leo. Inadaiwa amepigwa sana

    CCTV za Airport hazikufanikiwa kunasa tukio?
  2. JUKUMU

    JamiiForums Tanzania Makosa 18 ya gharama kubwa ambayo wanaume hufanya katika ndoa

    Ukiwa mkubwa akili zitakaa sawa.
  3. JUKUMU

    JamiiForums Tanzania Singida: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei 1, 2025

    Watu wengine wako serious kuelezea changamoto zao, wao ngojera na manyimbo ya kusifu tu..me naangalia zangu citizen tv angalau naona wanaelewa maana Leba day.
  4. JUKUMU

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Halfa ya Utoaji Tuzo za Wasanii wa Uchekeshaji Tanzania. Na kupewa tuzo ya Champion of Comedy

    Kama watanzania, ila kwa upande wangu naona kuna watu wanatumia nafasi hii kupiga hela au pesa. Mama angalia hili jambo.
  5. JUKUMU

    JamiiForums Tanzania Eneo kwa ajili ya uzalishaji bidhaa.

    Kutokea Dar kumpitia njia inayopita Tanga unafika njia panda kuelekea Moshi mjini.
  6. JUKUMU

    JamiiForums Tanzania Eneo kwa ajili ya uzalishaji bidhaa.

    Hapana kabla hujafika Moshi mjini.
  7. JUKUMU

    JamiiForums Tanzania Eneo kwa ajili ya uzalishaji bidhaa.

    Linakodishwa haliuzwi. Muhitaji tuwasiline inbox kwa details zaidi. Note: Me ndio mdau mkuu sio Dalali.
  8. JUKUMU

    JamiiForums Tanzania Eneo kwa ajili ya uzalishaji bidhaa.

    Habari za usiku huu wadau/wanajamii forum. Kwa ufupi tu, kwa wale/Yule ambaye yuko tayari kuwekeza kwenye sector ya uzalishaji(maji, juice, pombe, unga au product yoyote inayohusu chakula). Karibu Kilimanjaro, kuna eneo tayari Lina jengo kubwa( limekamilika kabisa), kuna mashine ya kuchuja...
  9. JUKUMU

    JamiiForums Tanzania Utendaji wa Jeshi la Polisi kushughulia wahalifu

    Wanajamii nawasalimu, natumaini wote mpo salama weekend hii. Sasa niende kwenye point hasa kwenye suala ukamataji wa jeshi letu hasa pale inapotokea uhalifu. Mfano tukio la Mwanza, Polisi anasema watuhumiwa walikuwa na mapanga hivyo ikabidi watumie risasi za Moto. Sawa walikuwa wanajihami...
  10. JUKUMU

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa heka 24.

    Acres
  11. JUKUMU

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa heka 24.

    Kwema wakuu kuna shamba linauzwa, lipo moshi karibu na nyumba ya Mungu, linafaa kulima vitu mbali mbali. Lina ukubwa wa hekari 24, bei ni 80m. Karibu Dm
  12. JUKUMU

    JamiiForums Tanzania Selection ya form 5 tayari

    Kwa wale ambao Wana ndugu, watoto au kama ni wewe, unaweza kupata majibu Yako hapa fasta kama umeshindwa kuona mwenyewe. Tuma jina kamili la mwanafunzi, jina la shule aliyokuwa anasoma na mkoa.
  13. JUKUMU

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Nitapata wapi soko la Mercury?

    Mtu anaandaliwa kichapo uhakika
  14. JUKUMU

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    Hivi hakuna hata online TV imeweza kufanya matangazo ya moja kwa moja? Au wote wamepigwa spana? Chadema nayo inashindwa hata kuweka live tukio kama hili? Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
  15. JUKUMU

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kubadilisha browser

    Wakuu kwema, naomba mwenye kujua jinsi ya kubadili au kuweka option ya kuplay video hapa JamiiForums anisaidie. Mimi nikifungua inafungua kwa kutumia JF tu. Nataka niwe nafungulia browser nyingine tofauti na Jamiiforums. Asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom