Recent content by juda

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mo & METL out, tuachie Simba yetu

    Hivi unajua sera ya michezo ya Taifa inasemaje kuhusu michezo.Usije kuwaza kuwa Siku moja hizi timu zitakabidhiwa kwa mwekezaji sahau hiyo kitu.Haya yote yanafanyika ni danganya toto tu bado sera yetu inasema michezo ni burudani.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Iran yageuza gia angani, yasema haitalipa kisasi kwa Israel kama wakisitisha vita Gaza

    Mpango wa Iran ni kuishinikiza Marekani amwambie jamaa yake Israel asitishe vita ya Gaza kwa kudumu.Iwapo atafanikiwa Iran ataongeza ushawishi mkubwa sana Mashabiki ya Kati kidiplomasia.Iran anaicheza vizuri sana hii karata pande zote mbili.Ngoja tusubiri kama Israel itakubali kumaliza vita...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa amsimamisha kazi mkurugenzi wa maji na mazingira Lindi

    Nasikia maumivu sana juu ya huyo Mkurugenzi wa Luwasa,jamani wananchi wa Manispaa ya Lindi wanateseka huu ni mwaka wa Pili hakuna maji maeneo ya Rahaleo,Sokoine,kariakoo,Likotwa,mhimbili,rasbura.ni haibu watu wanatumia maji machafu ya visima.dumu la maji Lita 20 tsh 500 mwananchi wa kawaida...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa habari: CUF sio tu imefanya kosa, imefanya kosa kubwa kisiasa

    Wewe si mchambuzi wa habari!
  5. J

    JamiiForums Tanzania CUF kufanya maandamano kushinikiza Lipumba kupewa uenyekiti

    Pasueni lichama lenu!
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mwelekeo wa hali ya Uchumi: Tanzania itatoboa?

    IMF ni kibaraka wa ubepari,lolote wanaloongea litafsiri kinyume chake(they are so Ironical)
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Zitto Kabwe katika Mkutano wa 'Linda Demokrasia' Mbagala, Dar - Juni 5, 2016

    Uko vizuri sana Comrade kwakweli kwa wale wenye weledi wa uongozi tunaona kabisa kwamba nchi inaenda mikononi mwa mtawala, haiwezekani taasisi ya Urais iwe ndo kila kitu tena anakiamua yeye kama yeye jamani haiwezekani hii ni nchi si nyumba kwamba yeye ni baba nyumba wa kupanga kila kitu Leo...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Sijaona Tamko lolote toka Nchi za Kiarabu kulaani tukio la Kigaidi la Brussels!

    Bazoka,jaribu kufuatilia vyanzo vingine vya habari ili upate muda wa kufahamu ukweli, Marekani, Uturuki ndiyo wafadhiri wakubwa wa IS, Turkey ndio Camp ya mafunzo kwa hao magaidi. Magaidi wametengenezwa na Magharibi kuharibu nchi nyingine kwa manufaa yao. Marekani hapambani na magaidi zaidi ya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Sijaona Tamko lolote toka Nchi za Kiarabu kulaani tukio la Kigaidi la Brussels!

    Mtoa posti jaribu kutafuta maarifa ya kutosha kwa kile unachotaka kupost, Iran hana nuke, lakini Syria anapambana na hao magaidi ambao Marekani anawaita wapigania uhuru, anawapa silaha, fedha, mafunzo kwa kushirikiana na ukoo wa Saud.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ni raha sana jinsi wamarekani wanavyowatafuta viongozi wa kuliongoza taifa lao

    Ukweli ni kuwa wenzetu hawana majungu wanaongea ukweli na si kupakana matope kama kiongozi ni dhaifu kwenye nyanja fulani huambiwa udhaifu wake. Mfano Trump anakosolewa kwa matamshi yake ya kibaguzi kwa watu wa imani ya kiislamu, anabagua wahamiaji, anabagua wamarekani wenye asili ya Afrika, na...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Magufuli Inafanya Mazingaombwe Kwa Wananchi

    Ni makala nzuri ambayo imejaribu kugusa uhalisia wa mtanzania wa hali ya chini na wa kati. Nichangie kwenye paye kwa kweli ni kero kubwa kwa watumishi, 18%ni kubwa ila kwa vile ilijadiliwa kule bungeni tuombe Rais asikie hiki kilio huenda bajeti ijayo itoe nafuu kwa wavuja jasho hawa wa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Majina saba yaipa kamati kuu ya CCM wakati mgumu

    Membe kapotea ubunge jimbo la Lindi Mjini kuna tetesi kua First lady analitaka.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wana CCM wanamuogopa Lowassa?

    KakaKiiza Kasi ya Lowassa kufuatilia malengo yaliyokubaliwa ndo inawasumbua,wanajua mziki wa Comrade akitangaza ziara sehemu yako ya kazi hupati usingizi hadi ukamilishe malengo hizo ndo figisufigisu za kumkataa Che wa tz Lowassa.wazalendo tumewajua hao na huu2015 mwisho wao!!Hastle Vista...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Lowassa waingia Tabora, Wananchi wauzuia ili kusalimiana naye

    For sure my friend those who hate him are irresponsible ones they are not eager to work hard!!VIVA COMRADE Viva Lowassa together we build this nation!!
  15. J

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Lowassa waingia Tabora, Wananchi wauzuia ili kusalimiana naye

    Comrade Lowassa tunakuhitaji tuchape kazi tujenge taifa2015
Back
Top Bottom