KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,943
- 9,457
WanaJamvi, nina swali hapa Nimekuwa nikifuatilia watia nia hakuna aliyetangaza nia bila kumiga kijembe Lowassa!Ajabu na kweli nikuwa kuna watu ndani ya CCM wanamuogopa Lowassa endapo atachukua hii nchi na kuwa Rais!
Kuna vitu tujiulize kwanini wanamuogopa!
(a)Atakwiba mali za nchi hii??
(b)Atawawajibisha wala rushwa na kuwatia adabu wavivu ndani ya serikali?
(c)Kwakuwa anapendwa na watu wanajua hawawezi kupambana naye ndo maana wanaanza fitna mapema?
Au basi ni siasa za maji taka?
Naomba maelezo yenu!