Handset siyo sababu pekee inayosababisha buffering kutokea. Ni mfumo mzima katika network kuanzia huko wanako broadcast, hadi kukufikia. Its complicated hata ukiwa na 4G LTE bado kuna kipindi ita buff.
Mkuu hizo ni size za monitor za computer, jaribu angalau 42". Na tofauti kubwa kati ya hizo TV ni kwamba hiyo namba moja inauwezo wa kuonyesha picha katika 3D mode inakuja pamoja na 3D glasses. 3D smart led tv na smart led tv zina uwezo wa ku-connect online bila msaada wa online streaming...
Never say No way kwenye mambo ya IT, unachopashwa kujua ni kwamba Data kwenye HDD haziandikwi kama kwenye kalamu na kalatasi. Fanya homework kidogo kuhusu data recovery, na kwa nini taasisi kubwa zina shread hdd zao badala ya kuziformat.
HDD inaweza ikawa overwritten mara kadhaa lakini bado data zinaweza kuwa recovered. Hata iko possible kurudisha files zako baada ya ku-format na kuinstall OS nyingine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.