Ku unlock website zilizofungiwa

Ku unlock website zilizofungiwa

Mambo vp wadau,ndugu, jamaa na marafiki
Leo naomba msaada mmoja tu kutoka kwenu, ni jinsi gani nita unlock website zilizofungiwa,kwa mfano maofisini utakuwa website kama facebook,youtube n.k huwezi kuzipata, please naombeni msaada wenu.

Angalizo: msinifikirie vibaya mkaniona napenda kuchat tu nikiwa kazini badala ya kufanya kazi,ni muhimu sana haswa kwasisi tunaofanya kazi sehemu ambazo hata simu za mkononi haturuhusiwi kuingia nazo.
thanks in advance.

Waweza kupata access ya website yoyote kwa kutumia proxy, ila unapotumia hizi free proxy baadhi ya features haswa za javascript zinakuwa disabled. So ule muonekano wa baadhi ya website zinazotumia javascript kama facebook huwa unabadilika inakuwa kama unatumia kwenye simu ndogo.
Jinsi ya kutumia free proxy:
Nenda kwenye url andika jina la proxy unayoijua wewe, e.g www.fastfreeproxy.info


1691876_prooo_jpg376197eccd4ba1ce72e1fe5178876563
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom