Recent content by Jua na Upepo

  1. J

    JamiiForums Tanzania Wanaume mliolazimika kuoa wake zenu sababu walipata mimba

    Huyo babu mwenyewe nimemsadifu
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wanaume mliolazimika kuoa wake zenu sababu walipata mimba

    Kuna mdada alinisakizia mimba kuwa ya kwangu kumbe loo! Mtoto leo kazaliwa hata midomo haendani nami ningekubal cjui ka ma ningelea
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ali kiba jifunze namna ya kupromote wasanii wako

    Wenyewe kwa wenyewe... Vita kali hiyo.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Wimbo mpya wa Ali Kiba 'KADOGO': Toa Maoni na ushauri wako hapa

    Video yote kapigilia nguo aina mbili tu... Video haivutii kutazama angalau audio, povu ruksa
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ukuta wa Mirerani waipatia Serikali Tsh. Bilioni 1 kwa miezi sita

    Porojo za mwendawazimu, hoja ninazo za kutosha kuthibitisha
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mama Mwenye Kizaazaa!

    Asa si aseme hata akinipa mwanae mmoja mi natulia tu.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mama Mwenye Kizaazaa!

    Tatizo analea@hashycool & pain killer
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mama Mwenye Kizaazaa!

    Kila nikipata zangu kishikwambi nikimpeleka maghetoni nilikopanga mke wa baba mwenye nyumba ananinunia, asa najiuliza kwa nini ananuna? Au anataka niende nae wapi jamani, wakati nyumba ya kupanga ninayo na ninaishi kama kwangu.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nyumba za kupanga ni degree tosha

    Mwaka jana nilikuwa nakaa huko Kiwalani karibu na uwanja wa ndege, watu wa kwa GUDE mnanielewa uzuri...asa hyo nyumba ni ya familia wa kule kwetu Tanga, shoo lake unapenda unaenda toilet kunanuka dawa kutwa mzima wale watu kwa miti shamba cwawezi
  10. J

    JamiiForums Tanzania Zitto acha siasa za kishamba

    Irudie kuipitia ile clip ya Zitto ndipo uandike huku, unakuja kutuuliza eti kwa cause action ipi? Inamaana wew huoni kuna uporaji au unyang'anyi wa mali za wananchi/wakulima? Huyo Jiwe wenu alidhani korosho ni kama zao la PAMBA yaani mkulima kavuna sana ana GUNIA 3, korosho si PAMBA wala si...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Wafanyabiashara wa korosho waipeleke Serikali Mahakamani

    Tulikofikia asaivi ni pabaya...Harufu ya dhuluma inazidi kupanda na kuwakaribia wakulima wa korosho, korosho kachukua pesa hazijalipwa na maisha yanazidi kuwa magumu.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Katika yale makundi matatu ya maada, moshi upo kundi gani?

    Neither male nor female.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Beki 3 kanijibu "Ila akijiua dada, shauri yako"

    C anapenda screen yako au ? Ndo umkodishe au una mpango wa kumnyima?
  14. J

    JamiiForums Tanzania Beki 3 kanijibu "Ila akijiua dada, shauri yako"

    Mkodishe tu
  15. J

    JamiiForums Tanzania Beki 3 kanijibu "Ila akijiua dada, shauri yako"

    Mkuu uzi mtamu huu, ila kuwa makini nae ukanogewa. kuna mwamba hapa mtaani alinogewa akamuacha mkewe na kumuoa beki 3
Back
Top Bottom