Wanaume mliolazimika kuoa wake zenu sababu walipata mimba

Tairus

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
680
Reaction score
1,068
Vipi kuhusu huyo mwanamke bado anakuheshimu kama mwanzo au baada ya kupata alichokuwa anakitaka kawa mbogo.

Vipi huyo dogo mnafanana au bado unawasiwasi sio wa kwako.[emoji23][emoji23]

Vipi wale jamaa zako uliokuwa unawavimbia huwezi oa demu aina flan alafu ndio zigo ilo apo ndan
Mfano siwezi kuoa beki tatu..

Vipi kuhusu maisha kwa ujumla ebu tupe mrejesho.

Maisha yanaendaje huko na mchepuko wako au ndo tuseme umekubali yaishe*huna mchepuko*

Uzi tayari.
 
Mi mwathirika wa hii maneno aisee, dogo japo watu wanasema nafanana naye ila mm simo kabisa. Dogo kafanana na mm tabia tu
 
Una njama za kuachisha mkuu [emoji23][emoji23][emoji23], BUT NAKUBALIANA NA WW MAANA SIRI YA MTOTO ANAIJUA MAMA
 
Vipi kuhusu huyo mwanamke bado anakuheshimu kama mwanzo au baada ya kupata alichokuwa anakitaka kawa mbogo.

Vipi huyo dogo mnafanana au bado unawasiwasi sio wa kwako.[emoji23][emoji23]

Vipi wale jamaa zako uliokuwa unawavimbia huwezi oa demu aina flan alafu ndio zigo ilo apo ndan
Mfano siwezi kuoa beki tatu..

Vipi kuhusu maisha kwa ujumla ebu tupe mrejesho.

Maisha yanaendaje huko na mchepuko wako au ndo tuseme umekubali yaishe*huna mchepuko*

Uzi tayari.
Ngoja nianzishe mazoea kisha nijionee
Kwa sasa sina ujuzi huo
 
Una njama za kuachisha mkuu [emoji23][emoji23][emoji23], BUT NAKUBALIANA NA WW MAANA SIRI YA MTOTO ANAIJUA MAMA
Walivyokuwambia kitanda hakizai haramu..Walisahau kukwambia Akili za kuambiwa changanya na zako..Au hukuambiwa ivyo mkuu?

Napata picha pale unapojaribu kumkataa dogo alafu ndugu wanaingilia kati
 
Kuna mdada alinisakizia mimba kuwa ya kwangu kumbe loo! Mtoto leo kazaliwa hata midomo haendani nami ningekubal cjui ka ma ningelea
 
Back
Top Bottom