Zitto acha siasa za kishamba

Mligo Augustino

Senior Member
Nov 29, 2017
126
278
Eti "wafanyabiashara wa korosho waipeleke serikali mahakama", kwa cause of action ipi? Je serikali imefanya kosa gani dhidi yao? Ni upuuzi kutafuta umaarufu wa kisiasa kupitia hoja za kitoto kama hizi.

Serikali ina wajibu wa kikatiba wa kulinda masilahi ya wananchi muda wote ndiyo maana iliamua kuingilia suala la kununua korosho za wananchi wake.

Hii ni kutokana na wafanyabiashara kutaka kuwanyonya wananchi kwa kununua kwa bei ya chini.

Wanasiasa wa aina hii hawana ajenda tena. Ajenda ya kupiga vita ya ufisadi iliwafia baada ya wao wenyewe kuwa sehemu ya mafisadi.Rejea the NSSF episode. Kama huna hoja kaa kimya.
 
Ataachaje ushamba mtu anayetoka Mkoa masikini wa kutupwa nchini lakini anahubiri eti Kazi na bata?
Kigoma umasikini ni zaidi ya asilimia 40 but still mtu anataka kuifananisha Kigoma na Dar es Salaam ambayo umasikini ni chini ya asilimia 5%?
Fanyeni kazi achaneni na wanafiki. Mpango mzima ni Hapa kazi tu! Ukizipata utajua namna utakavyozitumia.

No gains without pains!!
 
Kigoma umasikini ni zaidi ya asilimia 40 but still mtu anataka kuifanya Tanzania iwe Dar es Salaam ambako umasikini ni chini ya asilimia 5%?
Ninyi wapuuzi wa Lumumba ni nani aliyewaroga hata akaondoa akili zote akabakiza za kuhisi njaa tu na kuhisi mko uchi?
Ninyi kwa makusudi mnaruka hoja ya Zitto.Serikali ishafeli.Ipo siku utaambiwa kama una mafuta ya kula ndani utaambiwa tuoneshe shamba la alizeti!!!!?

Afu unavyosema eti kigoma ni masikin sana halafu unaisifia Dar kuwa eti umaskin ni 5%ni akili za korosho hizo.Labda hujaijua Dar.Dar ni moja kati ya mikoa masikin zaidi kama hujui.Watu wake ni masimin,miundombinu mbovu,hospital mbovu,shule za Dar es salaam zote ni vichekesho.sasa wewe unahubiri injili nyepes hapa.
Safari hiii woote tutaonja joto la jiwe.mateso wotr tunapata.no pain no wonder.
 
Ataachaje ushamba mtu anayetoka Mkoa masikini wa kutupwa nchini lakini anahubiri eti Kazi na bata?
Kigoma umasikini ni zaidi ya asilimia 40 but still mtu anataka kuifanya Tanzania iwe Dar es Salaam ambako umasikini ni chini ya asilimia 5%?
Nani kasababisha mkoa wa kigoma uwe masikini ni ZZK ?
 
Eti "wafanyabiashara wa korosho waipeleke serikali mahakama", kwa cause of action ipi? Je serikali imefanya kosa gani dhidi yao? Ni upuuzi kutafuta umaarufu wa kisiasa kupitia hoja za kitoto kama hizi. Serikali ina wajibu wa kikatiba wa kulinda masilahi ya wananchi muda wote ndiyo maana iliamua kuingilia suala la kununua korosho za wananchi wake. Hii ni kutokana na wafanyabiashara kutaka kuwanyonya wananchi kwa kununua kwa bei ya chini.
Wanasiasa wa aina hii hawana ajenda tena. Ajenda ya kupiga vita ya ufisadi iliwafia baada ya wao wenyewe kuwa sehemu ya mafisadi.Rejea the NSSF episode. Kama huna hoja kaa kimya.
On my opinion na kwakuzingatia maelezo yako ya kijuha wew unaweza kuwa lishamba zaidi!!Lait ungefaham situation ya huko watu wanavyoteseka usingethubutu kutoa ushuzi huu
 
Mwehu sana huyo zitto mropokaji halisia
Anatafuta kila njia ya kupewa hongo awamu ya Tano
Kote kumemdodea
Ptuuuu mimate ya usoni mwake wenye rangi elfu
 
Ataachaje ushamba mtu anayetoka Mkoa masikini wa kutupwa nchini lakini anahubiri eti Kazi na bata?
Kigoma umasikini ni zaidi ya asilimia 40 but still mtu anataka kuifanya Tanzania iwe Dar es Salaam ambako umasikini ni chini ya asilimia 5%?
Akili za chekechea hizi, mtu kutoka sehemu masikini sio lazima na yeye ni masikini,

kwa kipindi kirefu Mkoa wa Geita na wilaya ya Chato zimekuwa zikishika mkia kwenye matokeo ya shule za msingi na sekondari kitaifa ina maana watu wote wa mkoa huo ni wajinga?
 
Eti "wafanyabiashara wa korosho waipeleke serikali mahakama", kwa cause of action ipi? Je serikali imefanya kosa gani dhidi yao? Ni upuuzi kutafuta umaarufu wa kisiasa kupitia hoja za kitoto kama hizi. Serikali ina wajibu wa kikatiba wa kulinda masilahi ya wananchi muda wote ndiyo maana iliamua kuingilia suala la kununua korosho za wananchi wake. Hii ni kutokana na wafanyabiashara kutaka kuwanyonya wananchi kwa kununua kwa bei ya chini.
Wanasiasa wa aina hii hawana ajenda tena. Ajenda ya kupiga vita ya ufisadi iliwafia baada ya wao wenyewe kuwa sehemu ya mafisadi.Rejea the NSSF episode. Kama huna hoja kaa kimya.
mm nadhani nia nzuri ya serikali imeharibiwa na approach mbaya ya serikal yenyw,kwann utaifishe korosho ya mtu eti kisa hana shamba,vp Kama aliinunua kabla ya uamzi wa serikali wa kuinunua korosho??kama mtu hana shamba ila ana korosho kwann umzuie kwenda kutafta soko nje ili ww ununue hiyo ulooneshwa mashamba???
 
Irudie kuipitia ile clip ya Zitto ndipo uandike huku, unakuja kutuuliza eti kwa cause action ipi? Inamaana wew huoni kuna uporaji au unyang'anyi wa mali za wananchi/wakulima? Huyo Jiwe wenu alidhani korosho ni kama zao la PAMBA yaani mkulima kavuna sana ana GUNIA 3, korosho si PAMBA wala si UFUTA, mwambieni aache kukurupuka awalipe tu watu hela zao, hatuungi hoja katika uzi ulofubaa kama huu, unawadhulumu wakulima wakubwa ili uwalipe wakulima wadogo hii si akili ya bangi ya kivietnam?
 
Ataachaje ushamba mtu anayetoka Mkoa masikini wa kutupwa nchini lakini anahubiri eti Kazi na bata?
Kigoma umasikini ni zaidi ya asilimia 40 but still mtu anataka kuifanya Tanzania iwe Dar es Salaam ambako umasikini ni chini ya asilimia 5%?

Kwa hiyo Zitto ndo auondoe umaskini wa wana Kigoma, siyo?

This is a joke of a century to the people of Kigoma!!

I am sure wewe usemaye maneno haya kama ingetokea uoneshe sura yako halisi huko Kigoma, aisee jamaa watakugeuza asusa mchana kweupe!!

It's because they know more than what you know. They know their enemy very well....... that is CCM na nyie leo mnaopiga kelele
 
Kwa hiyo Zitto ndio sababu ya umasikin wa kigoma?? Mbona unakuwa mjinga sana we jamaa.

Back
Top Bottom