Recent content by JOYSTICK

  1. JOYSTICK

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kutupia picha za viatu vya kiume!

    Mitumba au
  2. JOYSTICK

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimedukua mawasiliano ya mke wangu kwa WhatsApp code, aisee anapanga makubwa kunisaliti nitakaposafiri

    Na ww akikujibu nambie mkuu
  3. JOYSTICK

    JamiiForums Tanzania Nauza Passo - rangi nyekundu namba D au kubadilishana na IST

    Tutafutane tuone
  4. JOYSTICK

    JamiiForums Tanzania Nauza Passo - rangi nyekundu namba D au kubadilishana na IST

    Nauza Passo namba D ina rangi nyekundu low mileage nmeiendesha hapahapa dar imenunuliwa mwaka huu January.Ila kama una IST isiyozidi mwaka toka inunuliwe na unataka tubadilishane kwa 'labda' kukuongezea na hela juu. Tutafutane PM
  5. JOYSTICK

    JamiiForums Tanzania TANESCO mna nini na Ukonga-Kipunguni?

    TANESCO hata kabla ya kutangaza kuwa mtakata umeme kwa wiki mbili mfululizo kwetu huku mlikuwa mnakata bila hata taarifa lakini kibongo bongo tunavumilia.Sasa ilivoanza hizi wiki 2 ndo imekuwa shida maana mnakata toka saa moja asubuhi mpaka saa6 usiku ndio mnarudisha wakati huo pale Banana na...
  6. JOYSTICK

    JamiiForums Tanzania Habari za televisheni za Tanzania hazivutii

    Habari wakuu, Nimekuwa nikifuatilia kwa kipindi kirefu habari za vituo vya televisheni zetu hapa Tanzania lakini hazina mvuto na mshawasha wa kukufanya kesho yake uangalie tena.Huwa nafuatilia habari za Chaneli 10 sa1 usiku halafu nafuata sa1:30 Clouds ambao hao habari zao huwa ni mbili tu au...
  7. JOYSTICK

    JamiiForums Tanzania Passo Owners Association (POA) Dsm chapter

    Proudly Passo owner tena natesa nayo sana tuuuu
  8. JOYSTICK

    JamiiForums Tanzania Vibaka tunarudishana nyuma

    Mida hii natoka Bar ya Hongera hapa karibu na chuo cha ustawi,nikaelekea kwenye parking ya upande wa kushoto iliyopakana na uzio wa chuo kuchukua ndinga yangu nakuta mama,Mzee mmoja na mlinzi wamekaa.Nkawasalimia gafla wanasema tumeibiwa hee,kwanza sikuelewa wakanionyesha sehemu ya nyuma ya kioo...
  9. JOYSTICK

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu roomate vipi?

    Je gf wako nae anapenda jamaa anavochangia
  10. JOYSTICK

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ingekuwa ni wewe ungelichukuwa hatua gani kwa huyu mwanamke?

    Dah kaka mwanamke Hana tafsida huyo..
  11. JOYSTICK

    JamiiForums Tanzania Nakula mlo mmoja kupunguza mwili. Je ni sahihi?

    Wadau, Nina 102kgs, nimeamua kuanza kula mlo mmoja wa mchana tu, huku jioni nikipitisha na maji tu. Breakfast nayo ni Mara moja moja. Lengo langu ni kufika 85kgs. Je, nini hasara ya njia hii ya kupunguza mwili? Faida pia napenda kuzijua.
  12. JOYSTICK

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuwe wastaarabu, hebu mcheki huyu

    sishangai jina lako na ww mnafanana
  13. JOYSTICK

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuwe wastaarabu, hebu mcheki huyu

    Karibu mkuu
  14. JOYSTICK

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuwe wastaarabu, hebu mcheki huyu

    Unaujua ustaarabu wewe?
  15. JOYSTICK

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuwe wastaarabu, hebu mcheki huyu

    Kweli kabisa
Back
Top Bottom