Huyu roomate vipi?

Huyu roomate vipi?

herrera

naww anza mazoea na demu wake uone atakuaje zen akimind mwambie nayy aache mazoea na demu wako so jarib kufany hivo au km vp msiw mnakutania hapo geto tafuta place nyingine
 
Last edited by a moderator:
kumbe hata wanaume huwa mnaogopana??
afu hilo la kumuogopa kumwambia nalo ni tatizo.
 
Finalist are grown up and have future vision ,sielewi kwa nini unashindwa kumcontrol room mate,show him that u have grown up and don't entertain nonsense issues.
 
Anaanza kukuchotea taratbu. Cha msing tafuta mtu ambae anaheshmika kiac flan mwelez mauzi yote km ulvyo andk hapa nakuwa unatak akusaidie jins ya kumfikishia ujumbe. Baada ya hapo mwalike aje kwenye room yenu muwe watatu kisha mwambie gf wako aje msome au vizia ck anazokujaga naiman huyo roomate atajiachia km ck zote tu hapo yule ulie mwambia aje amfikishie ujumbe atajionea live na ndo wakati wake wa kumwambia na kumpasulia yote, ila hakikisha huyo gf wako ameshaondoka na wewe ucwe msemaji uwe kmya mpaka uulizwe
 
Usichukue mawazo ya kijinga.Katika maisha waru huwa na tabia tofauti na hata hisia, inawezekana yeye anajaribu kuwa mtu wa kawaida na karibu sana kwenu nyie couple, pengine katika kulifanya hilo anajikuta anazidisha mpaka inakuwa kero, lakini si kwania mbaya.

Usigombanenae, mueleze mwenza wako tu unavuomchukulia na mukaenae kwa amani.Mmegaji si lazima amuone hapo na ajisogeze mbele yako, ilimradi ameshamjua anaweza kumtafuta kwingine, na anaekumegea pengine humjui hata kwa kumuona na wala hutamjua, kuwa na amani

nimekupata mkuu, thanks
 
Hivi siku ile culture ya room mates kupigwa 'exile' imekwisha???!
 
kikubwa mi naona kaka unampenda gf wako had unakuwa nawivu kwamtu asiye nampango nae, amini nimkalimu tu kwawageni anaona asipokuwa karibu na mgeni ataonekana anajisikia, kama unataka kuwa faragha na gf panga nje, kama sivyo usikwazike nikawaida wa2 wengine anahisi akikaa kimya atawaboa, angekuwa ndo kakayako home anawajoin we na wife kwamaongez ungemfukuza? acha wivu wamapenzi, alafu usimtusi roomate kisa gf, siku gf akikutosa utakosa mfariji, au ukaumwa night gf atakuwepo room? be careful usikurupukie mtu asiyewazia gf wako nae anawake
 
Ivyo vitu tumeshaexprience,anachojaribu jamaa n kumuweka karibu tu na s vinginevyo.Demu wa rafiki yako/roomate ni rafiki yako pia,pia majamaa ni wa kuwaheshimu kwa sababu ni ndugu zako kwa kipindi hiki hata future.wengi wamepata kazi kupitia michongo ya wanafunzi wenzao,komaa na shule kaka.
 
Muwe mnakutana sehem nyingine.atawaonea wapi?kwako iwe rare sana kufika.
 
Watoto wa siku hizi balaa, badala ya kuuliza ishu za masomo au kazi wanauliza mambo ya hovyo kabisa ya kimapenzi
 
Someni kwanza, mapenzi yapo tu mkializa shule. Ama vipi ongea na huyo room mate wako mwulize kama anamhsudu demu wako, mwambie ale mzigo. Wewe kula kitabu.
 
....Mkaushie kwanza usimwambie kitu, hadi akimmega ndo umueleze maana unaonekana hujali na huna ukaribu na demu wako mwache jamaa akusaidie.
 
Back
Top Bottom