JOYSTICK
JF-Expert Member
- May 6, 2014
- 221
- 57
Habari wakuu,
Nimekuwa nikifuatilia kwa kipindi kirefu habari za vituo vya televisheni zetu hapa Tanzania lakini hazina mvuto na mshawasha wa kukufanya kesho yake uangalie tena.Huwa nafuatilia habari za Chaneli 10 sa1 usiku halafu nafuata sa1:30 Clouds ambao hao habari zao huwa ni mbili tu au tatu (za hapa nchini) wanamalizia na mwewe.
Then nafuatilia habari za ITV sa2 ambao hao kwa sasa ndio naona wanajitahidi lakini mpangilio wa habari zao hauko sawa maana habari ambayo ni trending kwa siku husika wanaiweka katikati au mwisho.Lakini pia nimekuwa nafuatilia habari za StarTv na TBC mida hiyo hiyo ya sa2 ambao nao kwa kiasi fulan wanajitahidi.
Habari za hivi vituo vyote huwa ni za matukio tu ya hiyo siku baasi,hawawezi kuchambua habari au kutafuta habari zingine za mitaani au nje ya mikoa.Utasikia habari zao wote ni kuwa 'akiongea katika mkutano fulani' au 'akifungua mkutano fulani','alipokuwa katika sehem fulan'.
Waandishi na viongozi wenu jifunzeni kutafuta habari zaidi ukiacha za matukio ya mikutano na matukio mengine ya siku.Fanyeni uchunguzi mnaofundishwa huko vyuoni, mbona kuna habari nying interesting kwenye mitaa za matukio ya watu au jamii fulani.Yaan mpaka kuwa na mkutano au vikao ndio mnapata habari??
Toka alipotoka kwenye TV jamaa yule Jerry hakuna mwandishi mwingine anayethubutu kumuiga na kuleta habari zitakazo fanya 'news' iwe interesting.
Kuelekea uchaguzi mkuu kuna habari nyingi tu za kufuatilia mbona?mfano:Unaweza kutuwekea dots za upinzani walivokuwa wanamponda lowasa na ambavyo sasa wanamfagilia,.unaweza kutuwekea views za wanasiasa na wananchi na lowasa mwenyewe mwanzo akiwa CCM na sasa alivo CHADEMA
Kujifunza sio ujinga jifunzeni na igeni wenzenu wa nchi jirani ya kenya habari zao zilivo interesting.Kujifunza sio ujinga!!
Nawasilisha.