Recent content by joystaff77

  1. J

    Serikali Kutoa kauli Kuhusu Mgomo wa Madaktari kesho

    halamu mtu akisema rais ni dhaifu.....serikali daifu.... ccm dhaifu Ntolwa bungeni ndo wataanza kuelewa nini maana ya kauli ya mnyika sasa
  2. J

    Rais Kikwete, Watanzania wana imani na wewe achana na hoja dhaifu za Chadema

    Pumbaaaaaa!!!! Kwenu kuna wanawake mpe mmoja uone imani yake acha kukurupuka
  3. J

    Masikini CHADEMA- Kwishnei

    Na wewe ilishafumaniwa kama wenzako au!!!!????
  4. J

    M4C: Lema kuunguruma leo..

    M4c nadhani mlitumwa na mungu....mtabarikiwa kwa kuokoa taifa la tanzania BWANA AWE NANYI
  5. J

    Bungeni: Mwigulu Nchemba achafua hali ya hewa!

    Jamani hivi tuna wabunge wanaowakilisha wananchi au watu wakilisha wananchi Mheshimiwa komba anasema anaunga hoja hapo hapo anasema jimboni kwake ni masikini sana hivi ni akili au ni matope unaunga hoja hapo hapo unajifunga mwenyewe Kiukweli ccm hakuna watu kuna wachumia tumboni Aibu...
  6. J

    Naipenda CCM na nitaipenda Daima kwa sababu...

    Kweli kuna tofauti kati ya kuwaza na kufikiri "yaani rangi ya kijani ndo ikufanye uipende CCM' Jipange upya utakuja kupenda mavi kwa sababu yanatoka tumboni kwako Hatupendi rangi tunapenda maendeleo na uhuru haujaletwa na CCM uliza wazee wako watakuambia kama ni hivyo wazee wa EA...
  7. J

    OLE Millya aondoka na sh milioni mbili za UVCCM

    Mbona ndogo sana bana wao wameiba ngapi million baba ritz anatumia ngapi kusafiri tu itakuwa mil 2
  8. J

    Hukumu ya kesi ya Tundu Lissu tarehe 27.04.2012

    Kwani mbona faster faster kuliko ukonga au ndo style ya "maliza wote tuone watafanya nini" lakini sisi tuna mungu
  9. J

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    faida zake ni zipi kutembea na kina wema,lulu......sijaona kilichopotea ni binadamu wa kawaida sana kama watu wengine ,inauma kusikia kifo cha mtu na mazingira yake sio kama hivyo kuigiza kwake ilikuwa ni kazi na ilikuwa inamwingizia pesa yeye kama yeye
  10. J

    Lusinde ajitetea, asema alipitiwa na jazba; Alaumu siasa za kampeni

    "Sioni haja ya kuomba msamaha kwani hata wao walitukana" ni mbunge anayewakilisha wananchi huyo jamani kweli sisiem now wakubali tuu
  11. J

    Maji Marefu Kuishitaki CHADEMA .....!!!!!

    ilikuwaje akawa mbunge.....kuna wanachama wengine bana.....au aliwaroga...!!!!
  12. J

    Je wajua????-CCM imeshika nafasi ya Tatu Udiwani Tanga

    ipo siku hata huyo aliekuwa wa kwanza ataachia nafasi hiyo tsunami yaja
  13. J

    Serikali iachane na chaguzi ndogo - Mtatiro

    ushauri huu ungeutoa tangu igunga sio leo
  14. J

    Siri ya kushindwa CCM Arumeru Mashariki

    sio kumkomoa wameshidwa kihalali hakuna kutafuta mchawi......watu wamachokaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!:rockon:
  15. J

    Shambulio la wabunge na TBC1 reporting

    Time will tell....ndo maana wanafilisika cause hawana mvuto
Back
Top Bottom