Nijuavyo mimi, Joyce Kiria ameachana na Nelly, na alipost picha zake akienda kutambulishwa na mumewe mpya huko Uchagani, na ndo mwenye mimba. Mimi i was fan mkubwa wa Joyce Kiria, she is creative and confident. But niliwah kusoma makala yake moja kuwa ametembea na wanaume idadi yake haikumbuki...