viwango vya mshahara

joykita

Member
Nov 1, 2010
12
1
naomba kusaidiwa, je viwango vya mishahara ya tanzania ikoje, na je iwapo shirika linalipa chini ya kiwango cha serikali, hatua gani zichukuliwa?

Na je iwapo katika shirika especially ya kigeni uwiano wa madaraka kati ya wazawa na wageni ukoje? Na je ni ruhusa kwa shirika la kigeni kuwa na 95% of employees from their country of origin, huku wazawa wakiwa wachache?

iwapo katika shirika kuna hospitali lakini wafanyakazi wageni tu ndo wanatakiwa kutibiwa na wazawa kulipishwa hela je sheria zinasemaje katika hili?

Kwa leo naomba msaada katika hayo tu.
 
iwapo shirika linalipa chini ya kiwango cha serikali unafanya kama mbayu wayu!
 
Back
Top Bottom