Recent content by Joyce Kiria

  1. Joyce Kiria

    Msaada wa dharura: Watoto zaidi ya 600 waliokimbia kukeketwa hawana chakula

    Wakati watu wengi duniani tukijiandaa kuupokea mwezi wa 12 kama mwezi wa kusherekea sikukuu ya xmas na kufunga mwaka, kule Tarime mkoa wa Mara watoto wa kike wanajiandaa kuzikimbia familia zao ili wasikeketwe. Mwaka huu zaidi ya watoto 600 wapo wamekimbilia kituo cha Masanga ili kuepuka kisu cha...
  2. Joyce Kiria

    Kipindi cha 'Wanawake Live' na madhara yake

    Bwahahahahahahahahaha firahuni anajianika hapa kweupeee... arooo afande huyu tutam'buruza hapo sero aisee..
  3. Joyce Kiria

    Kipindi cha 'Wanawake Live' na madhara yake

    Elimu yangu ni std7, nilikuwa Housegirl zamani. Ni Historia ambayo siionei Haya hata kidogo. Wasomi wengi wanalalamika pamoja na PHD zao. Tumia historia yangu Joyce Kiria kutafakari umeifanyia nini nchi yako. Kama we ni msafi chukua Mawe unirushie...
  4. Joyce Kiria

    Kipindi cha 'Wanawake Live' na madhara yake

    Mabinti wakusikilize wewe ili waendelee kuwa vilema na kufa kwenye Ndoa kwa sababu ya Unyama wa Wanaume! Imekula kwako. Ukitili wa Kijinsia Hapana hata Ndoa 1000000000 haina kwere... Mpaka utakapojua kumpenda mkeo na kuacha vitendo vya Unyanyasaji... fyuuuuuuu
  5. Joyce Kiria

    Kipindi cha 'Wanawake Live' na madhara yake

    all, asanteni sana. Mawazo yenu ni changamoto kwangu 2014. Mbarikiwe
  6. Joyce Kiria

    Kipindi cha 'Wanawake Live' na madhara yake

    Mleta uzi nakushukuru sana. Nitachanganya na za kwangu, nitafanya maboresho kwa ushauri nilioupata hapa. Huu ni mwaka wa Kibali Kikubwa sana kwangu na Taifa langu... kupata ushauri mwingi kutoka hapa Jf ndo Kibali namba 1.
  7. Joyce Kiria

    Kipindi cha 'Wanawake Live' na madhara yake

    Akili ya kuambiwa nitachanganya na yangu ya std7. Kipindi ni jnne saa tatu usiku Eatv, jtano saa nane mchana, jpili saa nane na nusu mchana. Karibu
  8. Joyce Kiria

    Kipindi cha 'Wanawake Live' na madhara yake

    Katika Wanawake ninaowahurumia ni hao wanaojiuza. Kwa sasa bado natafakari jinsi ya kuwasaidia. Bahati mbaya sana Kuna WANAUME ambao wanawafanya hawa WANAWAKE waendelee na hiyo kazi huku vidole vikiwaelekea Wanawake kwa majina ya CHANGUDOA, KAHABA n.k Naomba Mungu anipe maono jinsi ya...
  9. Joyce Kiria

    Kipindi cha 'Wanawake Live' na madhara yake

    Heri kupigwa mawe ukitetea Haki za Wanyonge kuliko kupigwa mawe kwa sababu ya kupora wananchi ardhi na kuwapiga risasi za moto..
  10. Joyce Kiria

    Kipindi cha 'Wanawake Live' na madhara yake

    Asante sana nitalifanyia kazi....
  11. Joyce Kiria

    Kipindi cha 'Wanawake Live' na madhara yake

    Ni kweli kabisa Elimu yangu ni std7 na wala sioni aibu kamwe. Hata hivyo namshukuru sana Mungu kwa sababu amenitoa mbali sana na amenipa Kibali Kikubwa sana kwenye jamii yangu. Ni kweli kabisa kwamba nimeolewa mara mbili sasa. Na sintaionea aibu Historia yangu bali namshukuru Mungu kwa yote...
  12. Joyce Kiria

    Ujumbe kwa kina Dada Joyce Kiriya umetisha

    Nitafanya hata Ndoa 1000. Sintavumilia UKATILI WA AINA YEYOTE... Sintaona Aibu ya Historia daima. Namuogopa Mwenyezi Mungu peke yake. Sintaishi kufuraisha walimwengu kamwe. Nilichanga mwanzo kwa sababu ya ujinga na ulimbukeni wa kutafuta sifa za masaa na shida za muda mrefu. Pesa ya...
  13. Joyce Kiria

    Kapuya ni nani kwenye hii nchi hadi awe juu ya Sheria?

    Kilewo wangu ametafutwa kwa udi na uvumba na Jeshi la Polisi kwa sababu ya Taarifa za magazeti.. Kapuya kafunguliwa Jalada la tuhuma zinazoendelea kuvuma kwenye vyombo vya habari, kama haitoshi tuhuma zimefunguliwa na mlalamikaji ambae ana ushaidi kwa kiasi kikubwa, na hayo mambo yamedumu...
  14. Joyce Kiria

    waziri wa jinsia uko wapi?

    Haiwezekani Wanawake wafanyiwe unyama huu wakati tuna Wizara tena inayosimamiwa na Wanawake wenzetu! Haiwezekani Wanawake tunafanyiwa unyama mkubwa kama huu na wengine kuuwawa kikatili na Wanawake viongozi/wabunge wamepiga kimya! Haiwezekani hata kidogo! Kwa matukio kama haya nilitegemea...
  15. Joyce Kiria

    Wanawake tukatae hizi fikra za Mh Waziri wa Sheria na Katiba Matias Chikawe

    Alipokuwa kwenye sherehe za siku ya watoto wa kike duniani mh waziri wa sheria na katiba Matias Chikawe alisema "mimi siamini kama kuna mimba ya bahati mbaya na akaongeza kwamba serikali ikiruhusu watoto waliopata mimba shule warudi kuendelea na elimu eti watafanya ndio mtindo! Mimba...
Back
Top Bottom