King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,891
- 95,202
Hata mkulu alishasema ukitaka kula na wewe lazima uliwe,hao wanaume wanataka kugegeda bure biashara gani hiyo?lazima waingie cost halafu wengi huwa wanatoa wenyewe hata kabla ya kuombwa pesa
Ukifuatilia ujumbe wake facebook kuna maneno mengine yapo kwenye picha nitaeleza in a nutshell
1.Beyonce kamnunulia jay-z a private jet
2.Kim kardshian kamnunulia Kanye west ndinga ya ukweli
Sasa ndio anawahusia wanawake wenzake wasiwe mizigo kila kitu wao mwanamme hata pafyumu ya elfu 3 mzinga ndio hicho anachokichukia.