Japo uzi ni wa muda mrefu lakini acha ni reply. Nimependa maneno yako ndugu yangu,
Ni Bora uishi kwa kiburi ujue Hakuna wa kukusaidia, kuliko kuishi kwa kulialia ukajua utapata msaada halafu hola, Kiburi Muhimu maishani. Huyo jamaa anaishi maisha kama nnayoishi mimi,sina rafiki,sina ndugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.