Recent content by jovie

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ladies.!!Are You Still SINGLE??RELAX..!!Your BF Has Not Yet Been Born!!CLICK UJIONEE

    duh!!!!!wangu yupo ila hatujakutana tu,
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu anataka nizae nae

    kama umenogewahuko mkeo ana nafasi gani? au ndo amekuwa house girl wakukulelea watoto, jamani wanawake kuweni makini na mabwana kamahawa, hapo mumeo akigundua unafukuzwa na huyo mwanaume anabaki na mkewe ndo itakuwa imekula kwako wanao atalea mke mwingine.
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wamama na mabinti wa siku hizi mnatabia mbaya sana!!!

    jamani uchumba wote mpaka mwanaume unaamua kuoa hujajua kama dat women anakufaa? tulieni na wanawake wenu mjenge familia bora,
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wamama na mabinti wa siku hizi mnatabia mbaya sana!!!

    bora mwen zangu uulize maana wapo wasojua maana ya kupendana.
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanaume walio bussy na simu/laptop mida ya kulala na wake zao usiku

    mh1!!!!!mm cmo na bado nipo nipo
  6. J

    JamiiForums Tanzania Aliyepangiwa MAIN CAMPUS wakati yeye anataka MABIBO

    jaman mm cyo man wangu
  7. J

    JamiiForums Tanzania Aliyepangiwa MAIN CAMPUS wakati yeye anataka MABIBO

    usiwe na haraka utapata tu, ila hata mabibo siyo pabaya sana.
  8. J

    JamiiForums Tanzania first year udsm mbadilike.....

    duh!!!!!! nadhani first year hawajajua changamoto za hapa chuo, humba tu wanauza bei wanasahau na wao mwakani wapo mzigoni kuomba kubebwa, ngoja watajionea wenyewe, pole ndugu yangu tafuta tu room nyingine utakaa kwa amani tele.
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MSAADA wako wa mawazo tafadhali. Soma kwa makini kisha utoe maoni yako.

    mhhhhhhhhhhhhhhh :shocked::shocked: chukua hatua mapema.
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia 5 mbaya za wanawake wasiofaa kuolewa

    hahahahahahahaahahhhhh!!!!!!!!!! nangoja sifa za wanaume wasio faa kuoa
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitajie sifa 5 za msichana kuwa mke

    bora na ww umesema maanahivyo vigezo havina uzito wowote
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu mvivu kupindukia!

    duh!!!!! very sory,yani sina hata la kusema kwan kutokana na elimu yake naamini anajua changamoto zadunia ila amejitoa ufahamu tu,jaribu kumpa ukweli na mweleze anavyo kukera.
  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simu gani nimnunulie mpenzi wangu wa kike?

    jamani mpe zawadi ambayo unaaamini ataikubali na je hana mtuu huyo? usije nunua cmu then mtu wake akaipa simu adhabu ya kifo (akaivunja vunja)
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Poleni ndg zetu Wakenya, Watanzania tuamke sasa!

    duuuuuuuuuuuh!!!!!!!!! inaumiza sana coz damu inayo mwagika niya watu wasio na hatia, poleni ndug zetu na wapumzike kwa amani walio poteza maisha.
  15. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitajie sifa 5 za msichana kuwa mke

    naamini kila mwanaume ana vigezo na sifa anazotaka kwa mwanamke, kwangu mm naamini mwanamke ambayeana hofu na Mungu lazima atampenda na kumjali mumewe, swala la sura na maumbile ni majaliwa yake muumba........zaidi awe na upeo wa kufikiri kuhusu maisha, elimu na atambue wajibu wake.
Back
Top Bottom