Recent content by JOTO LA MOTO

  1. JOTO LA MOTO

    JamiiForums Tanzania Riwaya fupi: Ripoti

  2. JOTO LA MOTO

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kutana na koboko(black mamba), uliescape vipi maana huyu sio wa mchezo

    Ilikuwa Chang'ombe miaka ya 70 tukiwa tunacheza na wenzangu machakani kwenye miembe,nageuka hivi nakutana na Mjomba tunaangaliana uso kwa uso,nilikuwa na miaka kama mitatu au minne tu hivi hivyo tulikuwa tumelingana naye urefu. Alikuwa wa kijivu na tumboni mweupe maziwa,na hakuwa ametanua...
  3. JOTO LA MOTO

    JamiiForums Tanzania Baada ya kugundua kuwa wamepigwa kwa Conte waliyemsifia na kumpamba sasa wameamua Kumrudisha Daktari wa Mpira Aucho

    Kuna tofauti ya "afya ya akili" na "changamoto ya afya ya akili".
  4. JOTO LA MOTO

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi ya Kusikiliza Audio na Kuhariri Maandishi

    Ilihitaji wa Video unishtue,uhariri n.k..
  5. JOTO LA MOTO

    JamiiForums Tanzania Muandaaji wa maudhui natafuta connections

    Kwa Wadau ,Wamiliki wa media zinazoandaa maudhui,main au on line. Mimi ni Muandaa miswada( screen plays),ngazi ya cheti. Nabadili story kuwa screenplay,na fanya screenplay breakdown kwa ajili ya kurahisha uzalishaji (production),budget n.kNafanya maongezo(addition) kwa stori zenye maudhui...
  6. JOTO LA MOTO

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu Muha tajiri wa Tanroad

    Muha ajipange na aanzishe shughuli mbadala ili siku cha kuazima kujichukulia awe na kwa kushikilia.
  7. JOTO LA MOTO

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu Muha tajiri wa Tanroad

    Mimi nilivyoelewa,Muha katoka kwao Kigoma sasa yupo Dar,na ananufaika na miundo mbinu ya Tanroad. Hapo ndio jamaa anauliza vipi Tanroad wakimzengua?.
  8. JOTO LA MOTO

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Mkapa uandaliwe mapema,fainali isifanyike nje ya kwa Mkapa.

    Kombe la shirikisho
  9. JOTO LA MOTO

    JamiiForums Tanzania Shairi:This is Simba

  10. JOTO LA MOTO

    JamiiForums Tanzania TFF hakikisheni ahadi ya pesa kwa Timu iambatane na wajibu

    Usalama wa Wachezji uwe kipaumbele.
  11. JOTO LA MOTO

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI:JUMBA LA MUUAJI

    MTUNZI:MSANII JOTO LA MOTO SEHEMU YA KWANZA MSITUNI-JIONI Hali ya utulivu imetawala, huku sauti za Ndege na mivumo ya matawi ya miti inayopulizwa na upepo ikisikika, mara unasikika MNGURUMO WA PIKIPIKI INAYOKARIBIA. Zinapita sekunde chache inafika PIKPIKI KUBWA NYEUSI na kusimama mita chache...
  12. JOTO LA MOTO

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu kuuza au kununua hisa

    Za TOL, nataka kuuza.
  13. JOTO LA MOTO

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu kuuza au kununua hisa

    Kuna Mtu kanipatia orodha ya Madalali kama 14 hivi...naambiwa nichague mmoja, sasa nachagua kwa kigezo kipi ndio najiuliza. Ni nini tofauti ya Dalali mmoja mpaka mwingine?. je wanatofautiana uwezo wa kutafuta Mnunuzi, kwamba usipochagua Dalali Mzuri kuuza inachukua muda mrefu?.
  14. JOTO LA MOTO

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu kuuza au kununua hisa

    Nataka ufafanuzi wa pande zote mbili, yaani kununua na nifanye nini kuuza.
  15. JOTO LA MOTO

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu kuuza au kununua hisa

    Kuna mambo kadhaa nahitaji kufahamu kutoka kwa Wajuzi wa hizi kazi. Nimeonesha nia ya kutaka kuuza hisa nikapatiwa orodha ya Madalali, sasa nipo njiapanda nitumie kigezo gani kuchagua Dalali mmoja kutoka kwenye orodha. Na je, kuuza au kununua hisa kwa wakati ina uhusiano na ni Dalali gani ume...
Back
Top Bottom