Recent content by jossy chuwa

  1. J

    Zanzibar: Imamu wa msikiti auwawa kikatili!

    Kama ni kweli police wanayo kazi. kwa vyovyote wakristu hawana hilka hiyo ya jino kwa jino ila kama ndivyo basi ni mara ya kwanza na wanafaa waadhibiwe mbaya kabisa kukomesha tabia hiyo. akupigae shavu la kulia mgeuzie na la kushoto
  2. J

    Padre aitaka CCM ijiandae KUONDOKA; Adai yuko tayari kupigwa risasi akisema ukweli

    Jamani embu tuangalie maelezo tusiangalie alieyatoa ni nani maana watu wako tayari kufa kwa kuambiwa ukweli kuwa mbele kuna shimo lisilo na mwisho kwa kubishana na alotoa tangazo ikiwa tu ni padre au shekhe! Naungana na alosema 4m4 ni tabu lakini baadhi! kwani hata mm darasa la saba sikumaliza...
  3. J

    Walimu wakuu wazuiwa kuandikisha watoto wa darasa la kwanza

    Halafu hofu yangu mimi ni hao watendaji! wana utendaji kweli? kama unahitaji barua tu ya kupata aidha dhamana mahakamani au ufadhili wa mtoto yatima shuleni inakuwa na longo kibao, hapo siyo pande la kunyanyasa wananchi kwa kutoa kitu kidogo? haikuji kabsaaaaaaa
  4. J

    Tujikumbeshe waraka huu wa Lema kwa rais Kikwete na kile kinachotokea leo

    Siku ya kufa "mti nyani wote huteleza" ah! siku ya kufa nyani miti yote huteleza! na siku ya kufa dawa halisikii sikio. bwana me nimevugukiwa na hali hii ya ukimya ambayo najua kiama chake kikoje. eleweni hivyo hivyo! napita zanguuuu naenda kwa mjomba malulaaaaaa
  5. J

    UDINI: Uchafu Chini ya Kapeti tunajidanganya wasafi - Zitto

    Zito ni jembe zito la ukweli. hilo jina lake lina maana nzito kwa kuwa ana uwezo wa kukabiliana na mambo mazito na magumu! Big mh. zito
  6. J

    Filikunjombe: Tangu Kuingia Utawala wa Makinda Na Ndugai Wapinzani Wamekandamizwa!

    Unapokuwa kazini lazima umaanishe kwa msimamo! baada ya kazi mapumziko ili upumzike hupaswi kurejea ya kazini! vinginevyo hujapumzika! twende kazi kamanda Lisu sakata rumba baba!
  7. J

    CHADEMA wanaingilia Ngome ya CUF - Mtatiro

    Hapana naona uwaombe radhi hao wanawake wa kizaramo siyo fresh umetukana innocent.
  8. J

    Mwigulu Nchemba: Safari ya Zitto imefika mwisho

    Sasa hilo gamba amelivaa au limemvaa? masikini mwana ssm!
  9. J

    Dr. Slaa avunja ukimya suala la Gesi Mtwara na vurugu nyingine zinazoendelea kwingineko nchini

    Unaonaje? kotekote je. nje ndani hadi kieleweke! nyambaffff!
  10. J

    Dr. Slaa anatumika kuhakikisha Lowassa anaingia Ikulu 2015

    Bila ubishi mtoa mada ni ccm lakini yuko upande wa membe na adui wake mkubwa no. 1 Dr. wa ukweli no. 2 ni mamvi! ngoja niimbe kidogo.. polee samaki polee wanavyokufanya polee samaki poleee.... unaweza kuendelea kuimba
  11. J

    Aliyekuwa kiongozi wa BAVICHA atua NCCR-Mageuzi

    Deo, uko sahihi kuhama chama lakini ningekuona msomi na understand guy kama usingeponda ulikotoka. kawaida ukivaa chupi kubwa kwako, ivue na kuvaa saizi yako. usiiponde kwa kuwa tu haikukuenea hata kama uliipenda! pengine ukikuwa itakuenea na utaivaa!
  12. J

    Katika hili, Dr. Slaa anastahili sifa!

    Dogo janja mwingine huyu. BIG UP dogo never give up thats the way through
  13. J

    CHADEMA ikishinda vita ya propaganda itachukua nchi 2015

    M4C go... nawaamini makamanda wangu kwani hizo hila waliwafanyia kina mrema enzi zile, wakasambaratika kule Tanga. tena wakaleta hila za kidini kwa cuf wakafifia kwa kukosa namna ya kujinasua hadi cuf wakabaki kukubali hali hiyo ya kuwa ya udini. sasa hapa wamepiga ngoma ya sikinde kwa...
  14. J

    Mkataba wa kuuza Kongo huu

    Sasa kama hilo mwanahalisi lililoleta hiyo bonge ya ukweli wa kina limefungiwa tutapata wapi habari kwa kuna jinsi hiyo? Asante mkuu. vita hivyo ni vigumu kumalizika kirahisi.
Back
Top Bottom