Recent content by joslisa

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu

    Mmmm mmmh
  2. J

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Kijamii fanyeni maandamano ya kumtia moyo Rais Magufuli kwa kuwatetea wanyonge

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisa na misharaha pia mizuri hata bodi ya mkopo wanakata 5% sasa....anastahili pongezi haswa.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Misaada ya EU imerudi kwa masharti yaleyale, japo....

    Kwahiyo hizo hela hazitoki mpka masharti yatimizwe sio.....haya popcorn [emoji897] please....Kweli mfa maji haishi kutapatapa....its not even a 2years mshaanza kurudi nyuma,ziko wapi zile kauli za kibabe....shikamoo wahenga aisee walisema usitukane mamba kabla hujavuka mto.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Misaada ya EU imerudi kwa masharti yaleyale, japo....

    Utajiri upi unaouongelea mwenzetu??? Maana kama tumemezeshwa sisi ni nchi tajiri ila tuna shida kila siku....unazungumzia utajiri wa roho nini ndugu[emoji848]
  5. J

    JamiiForums Tanzania Misaada ya EU imerudi kwa masharti yaleyale, japo....

    [emoji15][emoji15][emoji848][emoji848] hili linanipa walakini...ni nini tumewaahidi hawa wahisani mpaka wamekubali kutufadhili baada ya sisi kujidai tunaweza bila wao....we are in deep shit i can tell.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Itashangaza sana kama bado Lowassa na Sumaye wanaendelea kupokea masurufu ya Ustaafu

    Jamani alijiuzulu uwaziri mkuu na alibaki kuwa mbunge....kwahiyo hayo malipo alistahili kwa kuwa alikuwa akikatwa hela za pension...na anastahili benefits nyingne kama mbunge....[emoji23][emoji23][emoji23]
  7. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene: Serikali haikusema itatoa ELIMU BURE, ilisema itatoa elimu bila malipo

    Madhara ya kutoa ahadi zisizotekelezeka.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lafanikiwa kuwaua majambazi wanne na kurejesha baadhi ya silaha zilizoporwa

    Hahahhaha utakuta waliofanya uhalifu walishafika iringa siku ile ile....watu mnahangaika na wana mkuranga....issa shame
  9. J

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lafanikiwa kuwaua majambazi wanne na kurejesha baadhi ya silaha zilizoporwa

    Hata waziri wa mambo ya ndani alisema aliyemnyooshea silaha ya moto aliyekuwa waziri wa habari ameshapatikana na anashikiliwa na jeshi la polisi ila haikuwa hivyo.....Trush shall set you free....SMH, ujangili dhidi ya askari wetu inabidi ukomeshwe...rambirambi zangu kwa familia za askari...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa taifa la Israeli

    Wali zuri,ina maana waisraeli hawakufanana na wajerumani kabisa na ikawa rahisi kuwapoint kwenye community....this has led me to believe hawakuwa weupe...[emoji848][emoji848][emoji848]
  11. J

    JamiiForums Tanzania China na Korea Kusini zimeionya kuiadhibu Pyongyang iwapo itarusha kombora lolote

    Affairs of the states in international arena is a complex matter....there is no permanent friend/enemy in politics....just interests
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye na Hussein Bashe kuweni waelewa

  13. J

    JamiiForums Tanzania Siri ya Watoto Mazezeta Kwenye Biashara za Wahindi Hapa Tanzania

    Faiza amesema madeformation akimaanisha deformations kwa wingi wake na sehemu ya cross breed amejichanganya tu ni inbreed.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye na Hussein Bashe kuweni waelewa

    Mchangiaji hapo juu umeongea mawazo yangu....it makes me wonder....uongozi hautakiwi kukosolewa[emoji848][emoji848]??? Sio kwenye nchi ya kidemocrasia .jamani hizi sio zama za wafalme.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kungekuwa na uwezekano ningepiga kura yangu kwa Rais Magufuli kabla ya 2020

    Not today satan....abeg leave me alone[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
Back
Top Bottom