Mlinzi wa Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu

Vijana wa kitanzania hatuko makini, yaani kijana anayeweza kuunda uzi JF lakini bado hajui makamo wa rais wa Tanzania kwamba kaolewa au la!
Kijana lazima ujue angalau basic ya nchi yako ikiwemo kuwafahamu top leaders 3 .
Mama ana mume , kuna vijana humu wanamwita binti. Hivi mnajua maana ya binti?
 
Back
Top Bottom