Umejitahidi kuandika ujinga wako unaoufahamu na hulijui neno la Mungu bali uliwahi soma maandiko yalioandikwa kwenye biblia,ulisoma kama kitabu cha stori na hukuelewa kitu zaidi ya kukariri mistari ilioendana na ujinga wako, unapotosha watu wasio jua neno la Mungu na kuisoma BIBLIA yote kwa muongozo wa roho mtakatifu, ila unachokitafuta utakipata maana neno linasema asiwepo mtu wa kuongeza wala kupunguza katika maandiko ya Mungu. Kwatuliopata NEEMA ya kusoma neno takatifu la Mungu katika BIBLIA tutajua huelewi ulichokiandika wasio jua neno utawapotosha. Mungu akupe NEEMA ya kulijua neno lake