Recent content by josephmasamaki

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ambrose Dunga: Producer aliyezivunja vunja Bongo Records, MJ Records kwa ma-beat makali yenye 'back vocals'

    Wimbo wake recent nnaoupenda ni huu wa Chege na Temba ft Emmy unaitwa GO DOWN! Dunga yumo kama kawaida anachombeza, "tembeleee.." Una bit tamu sana
  2. J

    JamiiForums Tanzania Naomba ushiriki wako katika utafiti - Invitation to participate in a research

    Yupi huyo unayemfahamu mkuu?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Naomba ushiriki wako katika utafiti - Invitation to participate in a research

    Habari, Naendesha utafiti unaohusisha utafutaji wa taarifa mtandaoni kwa lugha zaidi ya moja (multilingual Web searching) ambapo utatumia search engine (ya majaribio) inayosupport lugha MBILI i.e. unapata majibu kwa lugha mbili; English na Kiswahili. Kushiriki ni rahisi sana; ukifungua link...
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaweza kupigwa risasi kwa niaba ya mwanao?

    Umetoka kuangalia movie ya "John Q" nini?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Hisia na hamasa za Maandamano nchini: Mapokeo, Mitazamo na Uhalisia (Viongozi na Wananchi)

    Its "Heroine" not Heroness Aika
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mwanangu wa kiume uume (mashine) haisimami, mama yake kashauriwa amuonyeshe nyeti kumtibia

    Ushauri wa maombi toka kwa "Mchawi Mkuu" Daah!!! Kumbe hata nyie wachawi mnaamini katika maombi!?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Cape Town: Mitambo ya kusukuma maji itazimwa Aprili 29 Mwaka huu, haijawahi tokea kwa miaka 100

    Mkuu chanzo cha taarifa yako ni wapi? Maana day zero ni tarehe 15 July. Soma hapa (Day Zero) kuona pia efforts zinazofanywa ikiwemo ya desalination.
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Habari ya Ripoti mkemia mkuu imenipotezea usingizi wangu

    Mimi nakubaliana na takwimu za mkemia mkuu kwa sababu wanaoenda kupima karibu wote huwa wanawasiwasi. Wengi ambao hawana wasiwasi na watoto wao hawana time na kupima. Mara nyingi watoto kama si wako utahisi tu na hisia hizo mara nyingi huwa ni kweli. So mkemia anaprove tu kuwa hizo hisia ni kweli.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Serikali ijitokeze kufafanua taarifa inayoonesha mapato yake kushuka kwa 50/%.

    Licha ya kumtukana sana Zitto, bado Bavicha anawaendesha tu huyu "msaliti"!!! Bila kumsahau dada yenu wa kufikia Kimange... Siku hao wawili wakiishiwa hoja, bavicha itakuwa ahera!
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nauza Car seat ya mtoto wa miaka 1 mpk 5

    Do you mean TRA? Hata sijui anaishi wapi, maana sina ukoo naye.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Nauza Car seat ya mtoto wa miaka 1 mpk 5

    Daah! Huku mikoani tunakosa vitu vizuri aiseeh!!
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nauza Car seat ya mtoto wa miaka 1 mpk 5

    Usijali best!
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nauza Car seat ya mtoto wa miaka 1 mpk 5

    Haya mama! Lakini angejibu hapa ingekuwa kwa faida ya wote...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Nauza Car seat ya mtoto wa miaka 1 mpk 5

    Unapatikana wapi mkuu Susan85?
Back
Top Bottom