Cape Town: Mitambo ya kusukuma maji itazimwa Aprili 29 Mwaka huu, haijawahi tokea kwa miaka 100

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
917
1,000
Cape Town: Mitambo ya kusukuma maji na kuyapeleka kwa watumaji itazimwa Aprili 29, mwaka huu na kuweka historia ya jiji hilo kukosa huduma hiyo muhimu.

Kuzimwa kwa mitambo hiyo kunakuja baada ya Cape Town na maeneo mengine Afrika Kusini kukabiliwa na ukame.

Takwimu zinaonesha ukame wa aina hii ulilikukba jiji hilo miaka 100 iliyopita.

Akizungumza jana, meya wa jiji hilo, Patricia de Lille alisema mitambo ya kusambaza maji itazimwa kuanzia tarehe hiyo, kwani haitakiwa na uwezo wa kuyasukuma kutokana na mabwaya kukosa maji.

Amewahimiza wakazi na wageni kujiandaa kuikabili hali hiyo mbaya kuwahi kutokea hivi karibuni.

Kila kona Cape Town kumesambaa mabango yenye matangazo ya kuhimiza matumizi mazuri, yenye kubana matumizi ya maji yasiyokuwa ya lazima.

Matangazo hayo yanahimiza kila mtu kutumia maji kidogo kadri imavyowezekana.

Jamiiforums jana ilishuhudia wamiliki wa hoteli na nyumba za wageni "wakihaha" kunusuru hali hiyo kwenye biashara zao.

Wamiliki hao walikuwa na kikao wakijadili namna bora ya kuhakikisha wanapata maji ya kutosha kwa wateja wao.

Moja ya maazimio waliyofikia ni kuagiza maji kwa wingi kutoka miji mingine na hata nje ya nchi, endapo hali itakuwa mbaya zaidi
 
chilubi

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
7,914
2,000
Scientist wamekuwa akipiga kelele kuhusu rising Sea levels, halafu na Ukame.

Technology ya kufanya Sea water into fresh water ipo, in times like this, Sea water rising kwanini tusitumie hio technology ya kuyageuza kuwa fresh water? Japokuwa yatakuwa sio 100% mazuri for drinking, lakini yatasaidia kwa shughuli ambazo zinatumia maji mengi, kama kuosha vyombo, kuoga, na kadhalika.

Sijui watu hawafikirii au hili suala lina ugumu sana?
 
PatriceLumumba

JF-Expert Member
Mar 9, 2016
424

SAWUBONA
"Roving Journalist,
UKUTHANDA IZINDABA,

UNKULUNKULU UWASEBENZA IZIMPENDULO ZAKHO.

LUMUMBA
 
josephmasamaki

Senior Member
Apr 27, 2011
163
225
Cape Town: Mitambo ya kusukuma maji na kuyapeleka kwa watumaji itazimwa Aprili 29, mwaka huu na kuweka historia ya jiji hilo kukosa huduma hiyo muhimu.

Kuzimwa kwa mitambo hiyo kunakuja baada ya Cape Town na maeneo mengine Afrika Kusini kukabiliwa na ukame.

Takwimu zinaonesha ukame wa aina hii ulilikukba jiji hilo miaka 100 iliyopita.

Akizungumza jana, meya wa jiji hilo, Patricia de Lille alisema mitambo ya kusambaza maji itazimwa kuanzia tarehe hiyo, kwani haitakiwa na uwezo wa kuyasukuma kutokana na mabwaya kukosa maji.

Amewahimiza wakazi na wageni kujiandaa kuikabili hali hiyo mbaya kuwahi kutokea hivi karibuni.

Kila kona Cape Town kumesambaa mabango yenye matangazo ya kuhimiza matumizi mazuri, yenye kubana matumizi ya maji yasiyokuwa ya lazima.

Matangazo hayo yanahimiza kila mtu kutumia maji kidogo kadri imavyowezekana.

Jamiiforums jana ilishuhudia wamiliki wa hoteli na nyumba za wageni "wakihaha" kunusuru hali hiyo kwenye biashara zao.

Wamiliki hao walikuwa na kikao wakijadili namna bora ya kuhakikisha wanapata maji ya kutosha kwa wateja wao.

Moja ya maazimio waliyofikia ni kuagiza maji kwa wingi kutoka miji mingine na hata nje ya nchi, endapo hali itakuwa mbaya zaidi

Mkuu chanzo cha taarifa yako ni wapi? Maana day zero ni tarehe 15 July. Soma hapa (Day Zero) kuona pia efforts zinazofanywa ikiwemo ya desalination.
 
mkolosai

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
1,578
2,000
Scientist wamekuwa akipiga kelele kuhusu rising Sea levels, halafu na Ukame.

Technology ya kufanya Sea water into fresh water ipo, in times like this, Sea water rising kwanini tusitumie hio technology ya kuyageuza kuwa fresh water? Japokuwa yatakuwa sio 100% mazuri for drinking, lakini yatasaidia kwa shughuli ambazo zinatumia maji mengi, kama kuosha vyombo, kuoga, na kadhalika.

Sijui watu hawafikirii au hili suala lina ugumu sana?
Hivi kweli unadhani kule hakuna vichwa mbavyo vimefikiri zaidi ya hicho unachokisema? Ha ha ha haaa. Nimecheka sana eti unawashauri wasauzi ambao wanawaendeshea hata shirika la ndege
 
Nkanini

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
2,100
2,000
Cape Town: Mitambo ya kusukuma maji na kuyapeleka kwa watumaji itazimwa Aprili 29, mwaka huu na kuweka historia ya jiji hilo kukosa huduma hiyo muhimu.

Kuzimwa kwa mitambo hiyo kunakuja baada ya Cape Town na maeneo mengine Afrika Kusini kukabiliwa na ukame.

Takwimu zinaonesha ukame wa aina hii ulilikukba jiji hilo miaka 100 iliyopita.

Akizungumza jana, meya wa jiji hilo, Patricia de Lille alisema mitambo ya kusambaza maji itazimwa kuanzia tarehe hiyo, kwani haitakiwa na uwezo wa kuyasukuma kutokana na mabwaya kukosa maji.

Amewahimiza wakazi na wageni kujiandaa kuikabili hali hiyo mbaya kuwahi kutokea hivi karibuni.

Kila kona Cape Town kumesambaa mabango yenye matangazo ya kuhimiza matumizi mazuri, yenye kubana matumizi ya maji yasiyokuwa ya lazima.

Matangazo hayo yanahimiza kila mtu kutumia maji kidogo kadri imavyowezekana.

Jamiiforums jana ilishuhudia wamiliki wa hoteli na nyumba za wageni "wakihaha" kunusuru hali hiyo kwenye biashara zao.

Wamiliki hao walikuwa na kikao wakijadili namna bora ya kuhakikisha wanapata maji ya kutosha kwa wateja wao.

Moja ya maazimio waliyofikia ni kuagiza maji kwa wingi kutoka miji mingine na hata nje ya nchi, endapo hali itakuwa mbaya zaidi
mmmmm mkuu mbona sio kweli,please kama ya kuandika uzi wowote ulewa kuna watu wanaosoma pande zote mbili za story,hii taarifa ni batili na umeulizwa chanzo chake wapi?hili jiji its one of the well run in the world,lina wanasiasa na wataalamu makini sana,elewa Meya wake alishashinda tuzo ya best mayor duniani,day zero will never happen hapo Mother City,upambene!!!
 
chilubi

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
7,914
2,000
Hivi kweli unadhani kule hakuna vichwa mbavyo vimefikiri zaidi ya hicho unachokisema? Ha ha ha haaa. Nimecheka sana eti unawashauri wasauzi ambao wanawaendeshea hata shirika la ndege
Just for your information, inawezekana kuwa hakuna aliefikiria kama nlivofikiria mimi uko South Africa, kwa sababu hakuna sababu ya wao kuwafanya watu wapanic.

Huku Zanzibar, kuna kisiwa kinaitwa Mnemba Island, kuna mtambo wa kusafishia maji, na inamilikiwa na mtu binafsi tu.

Sioni sababu SA kupiga kelele na kutoa matangazo kuwa ifikapo hio tarehe Maji yatakuwa hamna kwenye huo mji, badala ya kuwaeleza watu kuwa tunayo alternative ya maji. Naweza kusema kuwa pengine SA hakuna hio plant ya kusafisha maji, kitu ambacho walitakiwa wawe wamekifiria zamani.

Yeah ni mimi kutoka nchi ambayo imeweza kujikomboa mwanzo kuliko SA nawapa ushauri SA.

Sasa wewe kaa na mentality yako kuwa kwa vile SA wamekuendeshea shirika la ndege kwaio huna ulijualo, siwezi kukulaumu ukifa na ujinga na umaskini :D
 
mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,911
2,000
Waje wachukue Tanzania tunayo ya kutosha hayatakauka hata iwe miaka 300 na hatuyatatimii kiivyo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom