Tukio kubwa la kijiografia latokea Arusha: Baada ya muda mrefu sana mlima Meru waonekana ukiwa na theluji

Wauza unga wameshindwa hadi wameamua kumwaga cocein yote milimani..
MAKONDA HOYEEEEE
 
Sidhani kama ni miaka 'Mingi sana', nakumbuka kila msimu wa baridi kali Arusha mlima Meru asubuhi ilikua ni lazima Uone kilemba cha barafu hapo juu, mimi binafsi mara ya mwisho kushuhudia hali hiyo ilikua ni 2009
2012-2013 pia ilitokea. ukiwa unatokea mjini to usa riva kama sikosei upande huo ndipo ilionekana japo sio kwa wingi namna hiyo
 
Sidhani kama ni miaka 'Mingi sana', nakumbuka kila msimu wa baridi kali Arusha mlima Meru asubuhi ilikua ni lazima Uone kilemba cha barafu hapo juu, mimi binafsi mara ya mwisho kushuhudia hali hiyo ilikua ni 2009
Sasa elfu mbili na Tisa na sasa ni karbu?
Hili ni tukio kubwa lakini sioni likipewa attention na media, ni baada ya miaka mingi Sana kupita mlima Meru mkoani Arusha umeonekana kuwa na theluji nyingi kama Ile ya mlima kilimanjaro kwa kipindi cha siku mbili kuanzia jana 2nd January 2018 hata leo 3rd January bad theluji inaonekana tena kwa wingi zaidi.

Mlima Meru ni Mlima wa pili kwa urefu Tanzania na watano barani Africa

View attachment 667510View attachment 667511View attachment 667512

Mlima kilimanjaro nao umeonekana na kuongozeka kwa theluji mara dufu View attachment 667515


 
Kigwangala amedhibiti......

Hiyo ni kazi inayofanywa NA Ndugu January Makamba, miaka miwili amekuwa akisisitiza pandeni miti NA kulinda mazingira.

Pia hali ya hewa ulimwenguni imebadilika, umarekani maporomoko ya Niagara Falls maji yameganda NA kuwa barafu
 
Hii hali ya mlima meru kuwa na theluji, hujitokeza karibu kila mwaka kwa vipindi na muda tofauti tofauti. Sababu hasa za kwanini huwa hivyo zinaweza kuwa nyingi na za kitaalamu zaidi, ila nafikiri sababu mojawapo ni surrounding temp ikiwa nzuri (ya chini kwa kiwango muafaka), then theluji huvinjari kwenye kilele cha mlima.
 
Back
Top Bottom