Unaweza kupigwa risasi kwa niaba ya mwanao?

Baby, tupate mtoto basi ili nami nijue utamu wake, na kama kweli naweza kuwa na ile feel kwamba I can take a bullet for my kid! Lakini ngoja, I can take a bullet for you baby, and if you think am kidding, try me[emoji177][emoji170][emoji3590][emoji257]!!
[emoji7][emoji7][emoji7] I know love, kuhusu hilo la mtoto tutadiskasi weekend hii
 
Habari zenu akina baba na akina mama...
Msianze kuniuliza mbona title umeandika kimalkia halafu huku unaandika kiswahili? Nimejaribu kutafuta title nimeona hiyo ndio inafit kwenye idea yangu iliyonisukuma kuanzisha uzi huu.
Well, nimekuwa nikiona haya mambo kwenye movie/ tamthiliya sasa nataka kujua kwenu wazazi kama hiki kitu ni halisi au ni mambo ya kwenye tamthiliya tu? Eti ni kweli baba/ mama unaweza kukubali kujitoa muhanga ufe badala ya mwanao?
Tukiachana na masuala ya kupigwa risasi, yanaweza kutokea mazingira ambayo mzazi unaweza kujikuta unatakiwa kuchagua nani abaki hai kati ya wewe na mwanao.... kwa mfano mtoto anahitaji kuwekewa kiungo na wewe mzazi ukimpa hicho kiungo ni hatari kwa maisha yako, can you give up your live to save your child?
Msiniambie habari ya kina mama kuhatarisha maisha yao wanapojifungua, hiyo ni natural ni lazima iwe hivyo....nazungumzia ile ya kuhiari mwenyewe
NB: Najua mnawapenda watoto wenu kuliko kitu chochote na sina shaka juu ya hilo
Uzi tayari

Umetoka kuangalia movie ya "John Q" nini?
 
Ningekuwa sina watoto 8 maisha yangu ningekuwa na-relax sana lkn kuhangahika huku na maisha kote najitoa kwa sababu ya wanangu,nafanya mambo bila uoga ili waishi vzr
Mkuu
nawesa pata ABCs za masuala ya kilimo ?
 
Habari zenu akina baba na akina mama...
Msianze kuniuliza mbona title umeandika kimalkia halafu huku unaandika kiswahili? Nimejaribu kutafuta title nimeona hiyo ndio inafit kwenye idea yangu iliyonisukuma kuanzisha uzi huu.
Well, nimekuwa nikiona haya mambo kwenye movie/ tamthiliya sasa nataka kujua kwenu wazazi kama hiki kitu ni halisi au ni mambo ya kwenye tamthiliya tu? Eti ni kweli baba/ mama unaweza kukubali kujitoa muhanga ufe badala ya mwanao?
Tukiachana na masuala ya kupigwa risasi, yanaweza kutokea mazingira ambayo mzazi unaweza kujikuta unatakiwa kuchagua nani abaki hai kati ya wewe na mwanao.... kwa mfano mtoto anahitaji kuwekewa kiungo na wewe mzazi ukimpa hicho kiungo ni hatari kwa maisha yako, can you give up your live to save your child?
Msiniambie habari ya kina mama kuhatarisha maisha yao wanapojifungua, hiyo ni natural ni lazima iwe hivyo....nazungumzia ile ya kuhiari mwenyewe
NB: Najua mnawapenda watoto wenu kuliko kitu chochote na sina shaka juu ya hilo
Uzi tayari
Mi naweza aisee
 
Mimi sina mtoto lakini nahisi kwa jinsi ninavyojifahamu. Siwezi kufa kwa ajili ya mtu yoyote narudia tena MTU YEYOTE..

Na mimi sitaki mtu yyte afe kwa ajili yangu..
Every life matters...hakuna ambaye ni special zaidi ya mwenzake..
Ndio maana mimi siwezi fanya kazi za ubodyguard au usalama wa taifa maana siwezi kufa sababu ya mtu hata awe rais.
 
Nisiwe Mnafiki mimi siwezi kubali kufa kwa yeyote yule.
Watu wenyewe unaweza kufa afu wasikuthamini
Nimewahi kuona gazeti moja hapa hapa bongo mtoto kampeleka mzee wake mahakamani ili achukue usimamizi wa mali zote ..anamsingizia mzee wake ana matatizo ya akili.

Hio familia ni ya wahindi wana makampuni mengi hapa bongo..
Sasa mtoto wa hivyo unaweza kumfia kweli??

Soma hio attachment
IMG_20190515_150331.jpeg
 
Habari zenu akina baba na akina mama...
Msianze kuniuliza mbona title umeandika kimalkia halafu huku unaandika kiswahili? Nimejaribu kutafuta title nimeona hiyo ndio inafit kwenye idea yangu iliyonisukuma kuanzisha uzi huu.
Well, nimekuwa nikiona haya mambo kwenye movie/ tamthiliya sasa nataka kujua kwenu wazazi kama hiki kitu ni halisi au ni mambo ya kwenye tamthiliya tu? Eti ni kweli baba/ mama unaweza kukubali kujitoa muhanga ufe badala ya mwanao?
Tukiachana na masuala ya kupigwa risasi, yanaweza kutokea mazingira ambayo mzazi unaweza kujikuta unatakiwa kuchagua nani abaki hai kati ya wewe na mwanao.... kwa mfano mtoto anahitaji kuwekewa kiungo na wewe mzazi ukimpa hicho kiungo ni hatari kwa maisha yako, can you give up your live to save your child?
Msiniambie habari ya kina mama kuhatarisha maisha yao wanapojifungua, hiyo ni natural ni lazima iwe hivyo....nazungumzia ile ya kuhiari mwenyewe
NB: Najua mnawapenda watoto wenu kuliko kitu chochote na sina shaka juu ya hilo
Uzi tayari
mwandiko mzuri kweli
 
I can die for my father, kama natakiwa kutoa figo zote, basi tazitoa kwa ajili ya baba yangu

kuhusu mtoto dah sijui!!

watoto wengi siku hizi wako upande wa mama zao, nafikili hili swali linawafaa sana wamama.
 
u can tell me nothing inapokuja swala la sacrifice kwa wanangu...i'll do anything for them Kama ni majambazi wanasema choose yourself utangulie wanao wabaki au tuwatangulize wao...i'll take that chance, how can i live without that smile of my Son...aseee sijioni nikiweza kuishi bila yeye.

Ni bora nitangulie ila sio atangulie mbele ya macho yangu..can not allow such thing.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] aah wapi kazi haiwezi kuwa bullet kwa sababu kabla hata hawajakuwepo ulikuwa unaifanya, pia hata wewe unakula kutokana na hiyo kazi...last but not least, mimi sio mkuu
Ohhhppppssss.....
Haya ndio madhara ya kukoment huku niko tufurahi day, yaani hadi nikakusahau babe, nikadhani kuna mkuu namkuot.
Tatizo lako na wewe umefanana sana na baba mkwe wangu...teh[emoji28]
 
Back
Top Bottom