mnakumbuka shuka wakati kumekucha, fedha ameshahamisha nje ya nchi, bakini na mkono shavuni, mfanyabiashara anajali maslahi yake binafsi kuliko maslahi ya watu wengine. poleni sana Upawa
hapana sio bure kuna namna mbona kila kiongozi wa chadema ambaye anakijua chama vizuri anaondoka katika chama hicho, tunapaswa kutafakari kuna kitu kilichojificha nyuma ya pazia. chadem hivi sasa imekua ni chama cha mapinduzi, kila anaetoka chama cha mapinduzi ambae amekosa madaraka anahamia...
Kiukweli hizi siasa zinapokwenda si mahala salama, kwanini tunadhalilishana kiasi cha kutoa video ambayo mwanamke mwenzangu anafanyiwa kitu kama hicho,hii sio sawa kama ungekua wewe au ni mzazi wako ungeiweka? tuache hizo mambo. alie record hiyo video achukuliwe sheria
Kweli hiki ni kituko cha mwaka mtu mwenye kashfa anagombania urais, Tanzania tunapaswa kubadilika kuondokana na ujinga huu kiukweli tumepotea, nina uhakika hata majirani zetu watakua wanatucheka kumshabikia mtu ambae ameshiriki katika matukio mengi ya wizi, uporaji wa mali z umma.
kweli haya maigizo ni tatizo kubwa, hao ndio watu zaidi ya mia waliozimia mpaka mkutano uhairishwe? nawapongeza sana viongozi wa CDM kwa kukwepa fedheha iliyokua iwakumbe kama mwendelezo wa kilichomtokea EDO bumbuli hali ilipoanza kuwa mbaya, ni mkutano wa ngapi huu una hairishwa jamani? tuwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.