Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,418
Kwa maana hiyo kiongozi unayemtaka wewe hayupo, sahau.
Umenijibu vyema.Tafakari jibu lako pia.
Kwa maana hiyo kiongozi unayemtaka wewe hayupo, sahau.
Mimi sipo mashakani ninaelewa ninachokihitaji,ninajithamini,nipo huru.HIvyo huna haja ya kunipa pole.
Umenijibu vyema.Tafakari jibu lako pia.
Ok, ila hata mimi ninajua ninachokitaka. Sema wewe hujui ninachokitaka mimi, ndio maana, hatumalizi mjadala huu
Ahsante, sasa kama umeshajua kiongozi wa namna hiyo hayupo, basi fanaya hima uingie kwenye siasa, ili uwe kiongozi ambaye ulikuwa unamtarajia, ili watu kama wewe wapate kiongozi uliyekuwa unamtaka wewe.
Ninajua unachokitaka,tatizo unadhani wote lazima tuamini unavyoamini.Siamini unachoamini,na hautakaa uniconvince kuamini unachoamini,na ninajua siwezi kukulazimisha ufanye ninachoamini,ila naweza kukushauri moja tu,Tanzania ni yetu sote,hatuhitaji UBAGUZI wa KIKANDA,KIITIKADI,wala KIDIDINI.
Tukemee pamoja MATUSI,KEBEHI,KUDHALILISHANA,na KUBAGUANA kwa misingi ya UKANDA.Na kila MTANZANIA apewe nafasi ,UHURU,na HAKI ya kuchagua aaminicho
Mimi so far ni kiongozi ambaye ninaongoza kwa mawazo na matendo.Si lazima nigombee ndiyo niwe kiongozi.Hata yale ninayowafanyia vijana leo kwa nafasi yangu bado nauwezo wa kujiita kiongozi.
Hata wewe waweza kuwa kiongozi kwa nafasi yako.
Mimi sina haja ya kukubadilisha imani yako, maana najua hata wewe huwezi kunibadilisha imani yangu japo unatamani kufanya hivyo, wewe baki na msimamo wako nami pia nitafanya hivyo, mijadala haiishi. Ila ninachoamini Mbowe ameiuza CDM kwa ENL. Hata kwa barter trade si lazima zitolewe pesa
Upo sawa tatizo si kwamba sielewi uongozi, nauelewa vizuri maana nimebahatika kuwa kiongozi, na bado ni kiongozi
ni wapi kazidi mipaka ndugu yangu??
au kwa vile mmezoea kulaumu
Kama unafacts na evidence unipatie na mimi nizione,ila kwa sababu ya TUHUMA za migahawani utanisamehe.
Wa kulaumiwa kwanza kabisa ni Dr.Slaa,aliyekuwa kuwadi wa Lowassa,huyu Mbowe mnamuonea tu.
Hivyo lakuuzwa siwezi kuliafiki unless unaniletea evidence to prove your allegations against Mbowe,vingine tunanyamaze tuendelee na maisha.
hayo maneno unatakiwa ukawaambie viongozi wako akiwemo Msigwa ambae alisema Mtanzania yoyote atakae mshabikia Lowaa akapimwe akili, cha ajabu leo hii anampigia debe, sasa hapo nani ni useless na hopeless kama si wewe na viongozi wako.All ccm leaders and members are useless and hopeless..their argments are always illogical
Kumbe unajua,Hongera.
Kama unafacts na evidence unipatie na mimi nizione,ila kwa sababu ya TUHUMA za migahawani utanisamehe.
Wa kulaumiwa kwanza kabisa ni Dr.Slaa,aliyekuwa kuwadi wa Lowassa,huyu Mbowe mnamuonea tu.
Hivyo lakuuzwa siwezi kuliafiki unless unaniletea evidence to prove your allegations against Mbowe,vingine tunanyamaze tuendelee na maisha.
Basi kama ni hivyo na wewe usitake kuniaminisha mkwamba Slaa ni kuwadi, bila evidence, unless na hao akina Mbowe wote ni makuwadi