Hiki ni kipindi cha wanafiki wote kukata kamba zao. Lazima kamba ya MCC ikatike kwakuwa vibaraka wake pia walishindwa uchaguzi.
Mwanamke mwenye msimamo hawezi kukubali ati aingiliwe kinyume kisa noti anazohongwa. Ila Madada poa wataisikitikia hongo ambayo yule bwana kasema hatatoa tena kwakuwa...
Kama umewahi kufika katika mji wa BUKOBA Manispaa utakuwa shahidi kuwa hakuna daladala ambazo zinafanya safari za ndani ya mji na badala yake utaina no Pikipiki tu alimaarufu "sekido" na madereva wakiitwa "asekido"
Nauli zetuni 500 tsh tu kwa routes za karibu na mbali kidogo ni 1000 na...
1.Angalia maji unayotumia kuoga yaweza kuwa machafu, na si chuchu tu kama tatzo likiendelea utawashwa pia sehemu za siri.
2. Chunguza wakati wa ku~sex na jamaa je .chuchu hutumika? Kwa mfano kama mume hulamba chuchu je mdomo wake unapgwa mswaki? Au huwa mmetoka kula?
3. Je? Chuchu...
Tatizo watu hatuna majibu ila tunashabikia.. hakuna aliyejibu swali. mimi sijui ila ningependa mtu mwenye figure atupatie.. siyo tunaamza kuropoka mambo ya Alshabab siyo akili ya mwalimu hiyo.
Kila anayemzomea Zitto anaguswa na pengo la zitto kutoka katika chama. Zitto ni kijana mwenye siasa za kuaminika. Kama unahofia chama chako kufa mzomee zitto ili usisikie ukweli. Ukomavu ni kusikiliza hata kile usichopenda na kuvumilia. Na uwezo ni kujenga hoja bora zaidi kuliko za unaeona hafai...
Bwana Mahug! Utaratibu upo hivi.... kwa manispaa na majiji ni 65,000= kwa siku x7. hiyo ni kwa bachelor. wilaya zilizopo vijijini ni 45,000 kwa siku x7. Usipange kuchakachuliwa ni haki yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.