Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,377
- 10,640
Binafsi niliwakubali kwa organisation nzuri. Niliwakubari kwa juhudi zao za majitoleo hasa katika kuchangia damu hospitali mbalimbali nchini, usafi wa mazingira n.k. Kuzimika kwao kunasikitisha, nilitumai wataendelea na kuwa chachu ya maendeleo ukizingatia walikuwepo kwa muda mrefu kabla ya uchaguzi na kuteka vyombo vya habari kwa juhudi zao. Kwa nini wasingeendeleza juhudi na majitoleo yao ili kumsaidia Rais wetu ktk kuinua uchumi wa nchi?
Ni jukumu la taifa kujifunza toka kwao. Nimeipenda kambi ya mafunzo ya kilimo Musoma kwa kutii amri ya rais na wajifunze toka kwa For U movement.
Ni jukumu la taifa kujifunza toka kwao. Nimeipenda kambi ya mafunzo ya kilimo Musoma kwa kutii amri ya rais na wajifunze toka kwa For U movement.