Ernesto Che
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,114
- 293
Huna akili
Akili ninayo na ninamfahamu kuliko wewe, namjua tangu enzi tunasoma UDSM mgomo wa mwaka 2000. We endelea kumshabikia ila sisi wengine tunamjua vizuri. Shauri yako
Huna akili
Umenifurahisha sana hapa, watu wanaumia moyoni tu
BAdo wapo kwenye hizi stage, wakivuka hizo utawaona tu hapa.
First they ignore you, then they ridicule you, then they fight you, and then you win.
Mahatma Gandhi
Wamevuka stage ya kwanza ya kum-ignore, ndio maana wanamfuatilia kila anapopita.
Saizi wapo kwenye stage ya pili,kumkashifu na kumzomea,
Kisha Zitto atafight back kwa kuendelea kusimama na hoja zenye nguvu,kushinda ubunge, kuendelea kuwa kinara wa hoja zenye maslahi ya taifa, kupambana sana na serikali bungeni.
Baada ya hapo hawa hawa, watasalimu amri na kukukubali kuwa alionewa, watampa ushindi.
Tundu lisu hana uwezo wa kuongelea mambo ya kitaalam kama hayo! Tundu Lisu ni mropokwaji tu. Kwa hiyo utasubiri sana.
Unaweza linganisha na kumpa mzalendo nafasi yake .kiukweli ana kazi ya ziada huyu bwana,hii ni mtwara!!
![]()
![]()
tusilinganishe kifo na usingizi wajemeni chama ni chama na mtu ni mtu!
Acha kuweweseka we mfuasi kipofu unafkiri lissu anajua sera hayo ni mambo ya sera na mtaalam wa sera za kiuchumi unamjua ni kabwe na lipumba tu
Dah vibaraka mna kazi sana ya kumtetea kiongozi wenu wa vibaraka Tz!
Dah vibaraka mna kazi sana ya kumtetea kiongozi wenu wa vibaraka Tz!
Mimi nadhani ni vema Zito akaelewa kuwa uwezekano wa kurudia enzi zake za umaarufu wa kisiasa kamwe haziwezikurudi.asifikiri Mrema alipenda kuisha hivi ni kwamba jamii huangalia kwa makini mwenendo wa mwanasiasa tapeli.Nasikitika kukuambia nawe uko njia hiyo hiyo ya Mrema
Akili ninayo na ninamfahamu kuliko wewe, namjua tangu enzi tunasoma UDSM mgomo wa mwaka 2000. We endelea kumshabikia ila sisi wengine tunamjua vizuri. Shauri yako
Kila anayemzomea Zitto anaguswa na pengo la zitto kutoka katika chama. Zitto ni kijana mwenye siasa za kuaminika. Kama unahofia chama chako kufa mzomee zitto ili usisikie ukweli. Ukomavu ni kusikiliza hata kile usichopenda na kuvumilia. Na uwezo ni kujenga hoja bora zaidi kuliko za unaeona hafai then usahihi waachie wanaokupima wewe na yule.