Recent content by joseph mzuma

  1. joseph mzuma

    Mapigo yangu ya moyo yamekuwa yakisikika na kuonekana naomba ufafanuzi

    Dear doctors! Naomba mawazo yenu ya kitaalamu katika suala langu hili. Tangu nijitambue Miaka Kama 15 iliyopita nimekuwa na shida moja kiafya nimekuwa nikishudia mapigo yangu ya moyo yakisikika na kuonekana nje ya kifua na tumboni haijilishi nimetulia au Niko active inafikia hatua mpaka mwili...
  2. joseph mzuma

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Shukrani asee Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
  3. joseph mzuma

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ivi Kuna mtu anawajua Linobetting tips anisaidie wasije Kula hela yangu bure? Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
  4. joseph mzuma

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Itakuw ngumu Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
  5. joseph mzuma

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Parimatch jiunge kwa link hii happy chini Kwa 300/= tu unakuwa milionea pia hakuna tax ya 20% na ukiweka 10k unapewa 20k Bonya hapa kujiunga PARIMATCH Sent using Jamii Forums mobile app
  6. joseph mzuma

    Dunia ijihadhari na taifa la China; yadaiwa Corona ilikuwepo muda mrefu sana

    Hujawahi kuona Sterling kwenye movie anavyoteseka ili akijijua yeye ndiye mshindi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. joseph mzuma

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ndugu wafanyakazi wenzangu tarehe 6 mwezi huu nilidepost tsh. 7000 merdian bet mpaka sasa haijaingia kwenye acount yangu niliwasilana na vodacom wakanambia hela imeenda wakanipa namba za kuwasiliana na wahudumu wa merdian 0754 303 031 lakini kila nikipiga namba haipokelewi nisaidieni ni...
  8. joseph mzuma

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    York City Over(2.5) East Fife Over(2.5) fenerbahce over (2.5) odds 3.51 weka stake kanji akale pilipilo
  9. joseph mzuma

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    niazimeni mtaji wakamalia wenzangu hata buku tu
  10. joseph mzuma

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    angalau tujifute maumivu kwenye kikapu
  11. joseph mzuma

    Nimemtukana mganga wa kienyeji

    umeweka nyavu uwavue wajinga mwaka matapeli mna mbinu.. vipi pm unatext ngapi mpaka saaa hii
  12. joseph mzuma

    Ubora na changamoto za UDOM -Chuo Kikuu cha Dodoma

    ukiongelea Udom utakuwa unaongelea chuo kikubwa Africa maahariki na kati pamoja na ukubwa vchangamoto vipo maana ukiangalia enrollment ni kubwa ukicompare na vyuo vingine Udom ni chuo kizuri sijapata ona na product zake znasifika kuwa na nizamu ya hali ya juu huku makazini hasa ukimpata mwalimu...
  13. joseph mzuma

    Believe: JPM is on the way. (Amini: JPM yupo njiani)

    huu sio uchochezi kweli
Back
Top Bottom