Recent content by Joseph Mwaluanda

  1. Joseph Mwaluanda

    Naomba ushauri kuhusu bati bora na ambayo haipauki

    Kiwanda cha sunshare kipo wapi?
  2. Joseph Mwaluanda

    Kwanini ku-print ni bei kuliko kutoa kopi?

    Sasa kama unaweza kuja na computer yako ili upunguziwe bei, stationery wameweka za nini na biashara wanafanyaje! Inachosema ni sawa na kwenda na mboga yako cafeteria ili upunguziwe bei ya ugali.
  3. Joseph Mwaluanda

    Nafasi ya kupata cheti cha kuzaliwa cha mtoto ikiwa kadi yake ya clinic na ya mama vimepotea!!

    Wana JF, natamani kusaidiwa ni kwa namna gani naweza kupata cheti cha kuzaliwa cha mtoto ambaye kadi yake ya clinic ilipotea na bahati mbaya sana hata ya mamake pia haipo, naombeni mawazo yenu wadau!!
  4. Joseph Mwaluanda

    Ni biashara ya ukubwa gani inapaswa kukatiwa lesseni kisheria??

    Ndugu wana jukwaa ningependa kupata elimu kutoka kwenu kwamba ni biashara ya ukubwa gani inapaswa kukatiwa lesseni ya biashara, lakini zaidi natamani kufaham ni pato kiasi gani kwenye biashara linapaswa kulipiwa kodi ya mapato kwa mwaka,,!!
  5. Joseph Mwaluanda

    Msaada kwa anayejua Sheria kudai michango ya mifuko ya Jamii

    Duu, hii mpya sasa, kwa mtu anyeacha kazi huwa inakuwaje aise,, hebu niafahamishe,, michango yako yote wanakula wenyewe??
  6. Joseph Mwaluanda

    Msaada kwa anayejua Sheria kudai michango ya mifuko ya Jamii

    Duu, hii mpya sasa, kwa mtu anyeacha kazi huwa inakuwaje aise,, hebu niafahamishe,, michango yako yote wanakula wenyewe??
  7. Joseph Mwaluanda

    Msaada kwa anayejua Sheria kudai michango ya mifuko ya Jamii

    Asante kwa ushauri, nisijepoteza muda na pesa nipiyonayo kufuatilia hiyo pesa kwa muda mrefu sana!!
  8. Joseph Mwaluanda

    Msaada kwa anayejua Sheria kudai michango ya mifuko ya Jamii

    Wana JF, nimekuwa nikichangia michango ya Kijamii NSSF kwa muda wa mwaka mmoja wakati nimeajiriwa kwenye Shirika fulani, now nataka kujua kutoka kwenu kama naweza kudai pesa hiyo kwa sasa, mana kuna mtu kaniambia juzi kuwa sheria ya sasa hairuhusu mfanya kazi kuchukua mafao yake hata kama...
  9. Joseph Mwaluanda

    Barua ya kukataa kazi

    Interesting story!! Huo ndio ushujaa sasa,, ukiwa mwepesi unanyanyasika!!
  10. Joseph Mwaluanda

    FOREX: Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara

    Mimi mwenyewe hii biashara siisomi,, niliwahi kuijiingiza kwenye network business, inaitwa Rifaro Africa, sitasahau, walianza kwa mbwembwe hivyo hivyo, "Tengeneza mamilioni bila kutumia nguvu nyingi ktk muda wako wa ziada" aise people mafanikio ya haraka yanatuponza sana, 129000 yangu ilipotea...
  11. Joseph Mwaluanda

    Kampuni za Ajira zinahadaa Watanzani wanaotafuta ajira

    Mimi nadhani tunahitaji kuwaza zaidi, ukipata kazi yako ya kufanya hata kama ni ndogo inakuweka huru, inakujengea kujiamini pia, sasahivi kuomba ajira tu ni utumwa!!
  12. Joseph Mwaluanda

    Gari linauzwa

    gari, saloon aina ya mazda famillia, lenye full registration, comprehensive insurance, na linalokunywa mafuta kwa heshima linauzwa. ni miezi mitatu tu tangu lipokelewe kutoka japan. tembelea face book page, ”joseph mwalunda, kuona picha ya gari husika” price, t. Sh. 14500000.
Back
Top Bottom