Kampuni za Ajira zinahadaa Watanzani wanaotafuta ajira

Ipananga kulwa

JF-Expert Member
Jul 24, 2017
573
290
Kama mada twaja hapo juu,,, nmekuwa nikituma maombi ya kaz kwenya makampuni yanayojiita ya ajira kwa muda wa mize 5 mpaka sasa hakuna kazi niliowahi kuitwa
..Je ni kweli haya makampuni yanawatafutia watanzania ajira au ni mbwembe na majigambo tu...sioni umuhimu wa haya makampuni tena!
 
Unajua nao hapo walipo wamejiajri, kama ajira zingikuwepo kwa nini wasiajiriwe wao. Hiyo ada unayolipia, ndo ajira yao. Ni sawa na Mganga wa kienyeji anayemwambia mteja kuwa atampatia utajiri ilhali huyo mganga ni masikini wa kutupwa.
 
Mimi nadhani tunahitaji kuwaza zaidi, ukipata kazi yako ya kufanya hata kama ni ndogo inakuweka huru, inakujengea kujiamini pia, sasahivi kuomba ajira tu ni utumwa!!
 
Unajua nao hapo walipo wamejiajri, kama ajira zingikuwepo kwa nini wasiajiriwe wao. Hiyo ada unayolipia, ndo ajira yao. Ni sawa na Mganga wa kienyeji anayemwambia mteja kuwa atampatia utajiri ilhali huyo mganga ni masikini wa kutupwa.
Ngumu kumeza hiyo mkuu
 
Acha makampuni hayo, zipo hadi ofisi zinazoheshimika kabisa na hasa mabenki hua zinatoa matangazo ya kazi kama sehem za kujitangaza tu.
 
Back
Top Bottom