Recent content by Joseph mboneko

  1. J

    JamiiForums Tanzania CAF Champions League

    tbc one wanaonyesha mechi hii
  2. J

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Naombeni mnifahamishe mda wa mwisho wa kulipia mtihani wa kidato cha nne kwa private candidate(pc) bila penalt kwani nasikia muda umeongezwa
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kasulu Kigoma nao wagomea mashine za TRA

    Maduka yote wilayani kasulu mkoani kigoma kuanzia asubuhi ya leo yamefungwa kisa wanagomea zile mashine za tra sijui huko uliko biashara zinaendelea?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Top 10 Smartphones That Rocked 2013

    vp hiyo tecno phantom A+ ilishafika bongo na kama ipo ni bei gani
  5. J

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Wana jamvi naomba mnifahamishe ni smartphone ipi ya tecno ambayo ipo kwenye chat kwa sasa hapa tanzania
  6. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta laptop ya kununua..

    Jamani toeni aoni
  7. J

    JamiiForums Tanzania Lenovo P780: Smartphone yenye kukaa na chaji zaidi duniani

    vp hiyo simu bongo ipo na kama ipo inauzwa naduka gani?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Naomba msaada ntawezaje ku update status na mwisho ikajieleza sehemu niliko.mfao:joseph mboneko usiku mwema near kigoma tanzania
  9. J

    JamiiForums Tanzania Best 20 Smart Phones

    me naomba kujua bei ya hiyo samsung s3 kwa dar
  10. J

    JamiiForums Tanzania Best 20 Smart Phones

    me naomba unisaidie bei ya hiyo samsung s3
  11. J

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada

    Wana jukwaa naombeni kujua bei ya samsung s3 kwani nimevutiwa sana na simu hii
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nini faida ya kuroot simu ya android

    Naomba na mimi kuelimishwa kama naweza kusikiliza redio kwa njia ya intert kwenye tecno p3
Back
Top Bottom