J Joseph mboneko Member Aug 9, 2013 12 0 Feb 11, 2014 #1 Maduka yote wilayani kasulu mkoani kigoma kuanzia asubuhi ya leo yamefungwa kisa wanagomea zile mashine za tra sijui huko uliko biashara zinaendelea?
Maduka yote wilayani kasulu mkoani kigoma kuanzia asubuhi ya leo yamefungwa kisa wanagomea zile mashine za tra sijui huko uliko biashara zinaendelea?