Nini faida ya kuroot simu ya android

Nini faida ya kuroot simu ya android

Hiyo ni ku-Gain Control over your Phone
e.g Huwezi Install some apps sababu ziko restricted kwako kufanya hivyo na Admin wako mfano kuna simu huwezi Install VPN client bila Root acess au huwezi install Screen capture bila root acess

Screen capture ndio nini naomba kuelimwishwa
 
Back up ni kucopy mafaili yako katika memory ya ziada kwa ajili ya usalama. Mfano unaweza kuback up phonebook katika memory card ambapo majina yatakuwa kwenye simu au laini na majina hayohayo kwenye memory card. Simu ikigoma kufanya kazi mfano kuwaka kabla ya kuiflash unatoa memory card. Ukishaflash na kufuta mafaili yote majina yako ynasalimika kwenye memory card na sim card.

Sasa nimeelewa ....ahsante sana kiongoz,maana nilikuwa napata joto kweli!!!
 
Mi ningependa uanze kwanza namna yakuroot cm maana wengine tunasikia tu hatujui tuanzie wap tuishie wap hatujui mkuu.Pia ningeomba utujuze njia yakutambua cm niaina gan mfano hiz android mala nasikia 2v. 4v nashindwa kutambua.
 
Kuroot cm its a process kwangu binafsi napata tabu kuielezea hapa ila inafanana na kuformat computer yako halafu ukaweka window mpya...
Kwenye kutambua Androids Software nenda pale kwenye Settings ukishaingia Scroll mpka Chini utakuta menu imeandikwa "about phone" ingia hapo utakutana na line moja ya Software Version. Hizi versions ni sawa sawa tu na kama zile za kwenye Computer mfano Windows XP, Vista, 7, 8 etc. Na Android nao wana versions zao ndo zinaanza na 2.0 halafu na kendelea halafu zinaingia kubwa zake ndo utaskia Sandwitch, Ice cream, Jellybean na kuna mpya wametoa last week jina limenitoka. Ni hayo tu mkuu.
 
Nashukuru mkuu kidogo umenipa somo ila ilinroot cm naanjia wapi may be ni sw ambayo imo kwenye cm yenyewe ambayo inarekebiswa?
 
Kit kat
Kuroot cm its a process kwangu binafsi napata tabu kuielezea hapa ila inafanana na kuformat computer yako halafu ukaweka window mpya...
Kwenye kutambua Androids Software nenda pale kwenye Settings ukishaingia Scroll mpka Chini utakuta menu imeandikwa "about phone" ingia hapo utakutana na line moja ya Software Version. Hizi versions ni sawa sawa tu na kama zile za kwenye Computer mfano Windows XP, Vista, 7, 8 etc. Na Android nao wana versions zao ndo zinaanza na 2.0 halafu na kendelea halafu zinaingia kubwa zake ndo utaskia Sandwitch, Ice cream, Jellybean na kuna mpya wametoa last week jina limenitoka. Ni hayo tu mkuu.
 
Notation :

Phone rooting inapoteza warranty ya simu. So hata kama simu yako ina mwezi mmoja toka ununue na ulipoinunua ilikuwa na waranty ya mwaka mmoja then baada ya kuroot waranty hiyo hupotea. So do this at your own risk ukilitambua hili.
 
Kuroot cm its a process kwangu binafsi napata tabu kuielezea hapa ila inafanana na kuformat computer yako halafu ukaweka window mpya...
Kwenye kutambua Androids Software nenda pale kwenye Settings ukishaingia Scroll mpka Chini utakuta menu imeandikwa "about phone" ingia hapo utakutana na line moja ya Software Version. Hizi versions ni sawa sawa tu na kama zile za kwenye Computer mfano Windows XP, Vista, 7, 8 etc. Na Android nao wana versions zao ndo zinaanza na 2.0 halafu na kendelea halafu zinaingia kubwa zake ndo utaskia Sandwitch, Ice cream, Jellybean na kuna mpya wametoa last week jina limenitoka. Ni hayo tu mkuu.

Hiyo ya last week inaitwa Kit-Kat. mi tayari nimeiwka kwa note2 yangu, iko bomba sana
 
Mie natumia blackberry 8520 version 4.6.1.314 je naweza kuifanyia rooting? Kama ndyo naomba mnitajie hzo software nnazo takiwa kuwa nazo niifanyie rooting ASAP
 
Blackberry haiwezekani nadhani, ni simu zinasotumia android OS tu
 
Yangu ni LG540-v20a ina hiyo system ya android sijui kamainawezekana tupen ufaham wandugu spets ili kukamilisha rooting process.
 
Naomba kuelekezwa jinsi ya kufanya hiyo rooting. maana simu yangu majanga availlable space ni mb160 so program chache sana
 
Mie natumia blackberry 8520 version 4.6.1.314 je naweza kuifanyia rooting? Kama ndyo naomba mnitajie hzo software nnazo takiwa kuwa nazo niifanyie rooting ASAP

JARIBU KUFANYA SOFTWARE UPDATE KK

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Habari wadau. Nataka kufanya rooting in my lg p506. Nilitembelea net nikakuta taarifa zinasema kufanya rooting unaweza kufanya simu yako kuwa useless( turn to a brick). Kuna program wanasema inasaidia kufanya rooting ukafanikiwa bila tatizo, hiyo program inaitwa " oneclick root" niliipakuwa kwenye pc nilipotaka ku install inadai microsoft .NET framework nikapelekwa microsoft kuipakuwa ninayo. Nimeipakua ninayo hiyo framework ila imenishinda kuinstall inachukua muda mrefu sana sijui nini tatizo nimecancel nipate ma utundu kwenu ndipo nijaribu tena. Mi siko familia sana na ujanja wa computer ndo naanza kutumia. Naomba kujuzwa hizi juhudi zinaweza nisaidia kuroot my lg p506 au la? Pia katika list ya phone zinazokubali rooting kupitia hiyo program na yangu ipo so inanipa tumaini. Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom