Recent content by Josemzampola

  1. Josemzampola

    Kwaajili ya Uhai wa Wasio na Hatia Huko Ukraine, Tuendelee Kuomba, Mwanga Umeanza Kuonekana

    Hizi propaganda kweli zinateka vichwa vya watanzania wengi Sana hasa Hawa wafuasi wa BBC
  2. Josemzampola

    Mamilioni ya Watanzania wampongeza Rais Samia kwa Maono na misimamo yake ya kiuongozi

    Hahaha!! Hii nchi ngumu Sana, mjuba umeamua uweke na namba za simu iwe easy kupatikana..
  3. Josemzampola

    Fahamu matumizi ya kipande cha mkaa wakati wa kulala ili upate usingizi mzuri

    Asante, ngoja nianze chap kuepuka mazonge ya usiku.
  4. Josemzampola

    Jinsi ya kulala usingizi mtamu kila siku

    Wengine tukifika kitandani ndo mawazo hasi yanatuijia hapo kulala SAA nane usiku, kutumia mto ndo mauzauza Tena Sasa balaa linazidi ukilala chali...aiceee usingizini huko nahisi Kuna dunia nyingine kabisa.
  5. Josemzampola

    Muombe Mungu akusaidie mpaka unapouanza mwaka wa 50 uwe na uhakika wa kupata vitu hivi bila wasiwasi ili umalize salama uzee wako

    Hivyo vitu havikwepeki ukiwa na pesa hata ndugu wakutenge maisha yanasonga TU yenyewe...kuwekeza mi mhimu Sana, pesa inakufanyia kazi siyo uifanyie kazi.
  6. Josemzampola

    Tunakumbushana tu

    Asante kwa kunikumbusha, mi huwa anayeropoka baada ya kukasirika na mlevi nazingatia Sana wanachokisema.
  7. Josemzampola

    Jinsi nilivyopata utajiri kwa mganga kule Sadani Bagamoyo

    Asante kwa neno, ubarikiwe..Kuna kitu hapa umeujaza ubongo wangu, nashukuru.
  8. Josemzampola

    Usiyoyajua kuhusu kupotea kwa 'Submarine' ya Titan

    Endelea Basi mkuu, au upo ofisini tuzidi kuwa wavumilivu!!!
  9. Josemzampola

    Walimu msikubali kuingia kwenye mtego huu wa wanasiasa

    Wapewe TU mitihani wafanye, sisi tunapitia msoto mkubwa pale law school... Na vyuoni tulipata Ufaulu mzuri na bado tunachujwa...naludia TU wapewe mitihani
  10. Josemzampola

    Shekhe Ponda: Kimsingi tunakubaliana kwamba Shirika la DP World lina Ufanisi mkubwa

    Nmesoma kwa utulivu Sana, nashukuru nmepata kitu hapa. Asante kwa uchambuzi mlua kabisa
  11. Josemzampola

    Jokate Mwegelo ateuliwa kuwa kati ya Vijana watakaowakilisha ndani ya Mtandao wa Kimataifa wa Vijana unaochagiza maamuzi makubwa

    Hii Jambo la kuhusu kila mwanamke anafaa uongozi NI janga lingine jipya...
Back
Top Bottom