Recent content by jose mjasiriamali

  1. jose mjasiriamali

    JamiiForums Tanzania Hakika sijutii kununua pikipiki aina ya boxer 150(bm150)

    Hili zuri kwa rough road,liko juu nafikiri ndicho anachomaanisha
  2. jose mjasiriamali

    JamiiForums Tanzania Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

    Huu mwandiko kama naufananisha hivi?
  3. jose mjasiriamali

    JamiiForums Tanzania Swali Kwa wanaume kama una mbususu usijibu🚫?

    Mkuu hao ni wanawake watano tofauti
  4. jose mjasiriamali

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna madhara gani kuacha pombe ghafla?

    Umeongea ukweli mtupu Mkuu
  5. jose mjasiriamali

    JamiiForums Tanzania Swali: Kwanini Ardhi ilaaniwe kwa kupokea damu ya Abili, iliyomwagwa na Kaini nduguye?

    Swali lako mjomba lina mizizi ya theolojia ya haki, maisha, na ardhi kama sehemu ya uumbaji wa Mungu. Hebu tuchambue kwa kina kwa kutumia maandiko na tafsiri ya kiroho. 📖 Maandiko ya msingi: Mwanzo 4:10-12 (SUV) 🤔 Kwa nini ardhi ililaaniwa? 1. ✅ Damu inawakilisha uhai ➡️ Kumwaga damu...
  6. jose mjasiriamali

    JamiiForums Tanzania Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako?

    Naonekana bonge la mlevi kumbe wala,mnywaji tu wa kawaida:):)
  7. jose mjasiriamali

    JamiiForums Tanzania Umegegeda Wanawake wengi wenye jina lipi?

    Kuna jina hadi sasa halijatajwa,haiwezekani huu uzi ni batili
  8. jose mjasiriamali

    JamiiForums Tanzania Utabiri kwa picha: Kesho Simba tunapoteza kwa goli 2

    Badili ID Mkuu, Mganga huna Baya. Kuna hela nyingi sana ungejibrand kidogo tu,Nabii huyu hapa:)
  9. jose mjasiriamali

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya moive kali 2025

    Hiyo ni hatari Mkuu.umeniwahi
  10. jose mjasiriamali

    JamiiForums Tanzania My Top 5 list ya Movie Series of All Time

    Nitarudi hapa
  11. jose mjasiriamali

    JamiiForums Tanzania Nimekubali kurudisha muamala wa mpesa kiasi cha shillingi 1.4M uliotumwa kwenye namba yangu kimakosa

    Hela ambayo sio yako,sio yako tu,ingeweza kukuletea shida ambazo wala hazikuwepo ukatumia zaidi ya hiyo.
  12. jose mjasiriamali

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume wa kunioa

    First impression,yaani thread inaanza na hela,ndo maana huwezi pata hapo mtaani kwenu.jirekebishe then watu watakuja
  13. jose mjasiriamali

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mara nyingi maanko na mashangazi wengi hawajanyooka?

    We mwenyewe ni uncle/ shangazi kwa somebody,na qewe hujanyooka??
  14. jose mjasiriamali

    JamiiForums Tanzania Tofauti na pesa, kazi na wasifu, ni yapi mengine ambayo huongeza ushawishi kwa mwanaume dhidi ya wanawake?

    Kuwa na rafiki wa kike ni kama kutembea na muwa kama fimbo,utaula tu
Back
Top Bottom