Hakika sijutii kununua pikipiki aina ya boxer 150(bm150)

Hakika sijutii kununua pikipiki aina ya boxer 150(bm150)

Hakika ipo gudi sana.
Inanipa kilometer 135 kwa mafuta ya elfu 6,000.

Ukiachana na vipuri vyake adimu kuvipata ila hizi pikipiki zipo vizuri sana
Ukijali umwagaji wa oil na filter kubadili kwa muda mwafaka, kwa fundi matengenezo mengne utayasikia tu kwa wengine.
Boxer nimeendesha sana lakini Kuna mtoto mpya sokoni anaitwa SINORAY 180 cc ana gear 6.

Aiseee
 
IMG-20250828-WA0004.jpg

Machaguo ni mengi.
 
Hapo unyama aisee. Nina ndugu yangu pia ana private hapa Dar, formula yake ni moja hana haraka. Yupo radhi apite njia ndefu ya 10 km kuliko shortcut iliobusy ya 5 km.

Pia wekeza kwenye kofia. Achana na izo kofia za elfu 30. Tafuta ata Laki 1 ununue kofia nzuri mkuu.
Kofia ya laki 1,kwamba mvua ikinyesha huloani
 
Back
Top Bottom