Recent content by Joram M

  1. J

    Rais Kikwete, mbona umeamua kuangamiza Taifa? - LEMA

    Maelezo yako yanalingana na akili na uwezo wa shule yako. Sijui hata waliokupa 'like' wana akili kiwango gani?! Wewe ingependeza maneno ya JK yaanzie kwako Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
  2. J

    Vijana 7 Wachadema wanaofanya vizuri nje ya Bunge.... hawa hapa

    Wachaga wote isipokuwa mmoja. Poor chadema Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
  3. J

    TIMUA TIMUA CHADEMA: Diwani CHADEMA asimamishwa miezi mitatu

    Kubadeki! Hapo mtatiana shombo mpaka basi. Chadema heads for collapse Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
  4. J

    Babu Seya na Wanae kusota Jela Maisha!

    Yes. Wabongo huwa nawashangaa kweli kweli. Wamekomaa kumshambulia Kapuya wakati wanatetea mbakaji halisi. Labda kwa kuwa watoto wao hawakubakwa! Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
  5. J

    Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

    Nani mpinzani wake ndani ya CCM mwaka 2015? Ameshaanza kuchafua chafua.
  6. J

    Operesheni Kimbunga yazoa mawaziri

    Mhh! Huyu mtoa habari za wasifu Lukosi naye angetoa yake ingependeza. Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
  7. J

    Mozambique ex-rebels end peace deal after attack

    Kulingana na information za ki-intelligensia, huyo bwana ni mmoja wa watu hatari sana Duniani. Askali wa Tanzania waliokuwa kule Msumbuji wanaeleze jinsi walivyokuwa wakiuwawa kila kukicha. Ikafikia sehemu ilibidi sasa wache kuwasiliana na wanajeshi wa Mozambique waende kivyao vyao. Hapo ndipo...
  8. J

    Mozambique ex-rebels end peace deal after attack

    Hiyo itauwa gas tu. Asimilia 100 iko kwenye RENAMO controlled area! Karibu na Ntwara. Tuone drama sasa
  9. J

    Ufoo saro aanika kila kitu juu ya sakata lake

    Kama kweli ni MPALESTINA, atakuwa yeye ndiyo muuaji. Story yake haina mashiko kabisa. Kama yeye ni mme wake mpendwa alafu anasema mme alimwambia ameamua kujiua yeye na mtoto, kwanini asipige simu kokote, hata kwa marafiki kuwastua of impending calamity kwa ajili ya ushauri nasaha?! Behind every...
  10. J

    Serikali tusaidieni Fastjet wamezidisha uhuni

    Hii ndiyo shida ya bei rahisi. Hata wale ambao walikuwa hawategemei kupanda ndege sasa wamepanda. Ni nzuri sana. Ila tatizo linakuja ni kwenye ushamba. Kana huyu mlalamikaji. Yeye anafikiri ndege ni kama basi, linatembea tu hata kama kuna hitilafu! Tulia, soma mazingira na utazoea tu
  11. J

    Ajali Kibaha yaua Mhadhiri wa SUA

    Ushukuru Mungu akupendelea unaweza hata ongea hayo yaliyoko moyoni mwako. Tumwombee
  12. J

    Ajali Kibaha yaua Mhadhiri wa SUA

    We unajiona uko sawa?! Angalia jinsi watu wanavyoropoka ropoka humu JF na nadharia zao plus magazeti,na hapo hujaenda kwa viongozi, wawe serikalini au upinzani. Wote kwisha tunasubiri ama mganga afufuke au bingwa mwingine atutoe.
  13. J

    Ajali Kibaha yaua Mhadhiri wa SUA

    Yaani hii Bongo aliyeturoga, alitukomoa sana.
  14. J

    Ajali Kibaha yaua Mhadhiri wa SUA

    Kwa mara ingine tena bara bara zetu zimeendelea kuwa kimeo na janga la Taifa. Mhadhiri kijana: SUMA MWAITULO wa Crop Science and Production Department kapoteza maisha yake leo asubuhi. Alikuwa anaendesha gari akiwa na watoto wake pamoja na mtumishi wa ndani (House girl). Wote waliokuwemo...
  15. J

    Tundu Lissu

    Umejigundua ehee...?! Ukiwa na uwezo mdogo wa uelewa, hata mtu akijamba mfululizo unaweza shangilia. Unatakiwa uulize, kujamba mfululizo ni tatizo
Back
Top Bottom